Nikiri wazi: Namfahamu shetani

Nikiri wazi: Namfahamu shetani

No God no Evil.. Be Atheist u wil enjoy your life forever..usijiingize kwenye mambo mawili hapa Duniani. DINI NA SIASA..utakufa bila kuenjoy duniani..wakati ukifa umekufa ndugu..
Lakini unaweza ukiingia kwa lengo la kuwafaidi wapumbavu waliomo humo
 
View attachment 393480

Kwa wale wachangiaji wa kukurupuka watofautishe kati ya kujua na kufahamu
Nakiri wazi kabisa kuwa namjua shetani...huyu kiumbe mbaya kabisa mwenye kutisha na kuogofya hasa.

Kwa mara ya kwanza nilimfahamu shetani kupitia maandiko na simulizi kwenye imani imani yangu...nikasoma na kusimuliwa vizuri tu kuhusu hiki kiumbe na jinsi lilivyokaa kimvuto (japo kinatisha sana kwa baadhi ya picha)nikamfahamu shetani kwa njia hiyo
Kilichofuatia ni kumjua shetani...nimekuwa mshirikina waje kwa miaka mingi tumefanya naye kazi pamoja, tuneshirikiana kwenye mengi na nimegundua ni mtu wa aina gani...shetani ni shetani tuu hata awe na sura nzuri ya kuvutia kama malaika hata akupe kila kitu..sio mwema kwako na daima anania maovu.

Hii ni siku ya mapumziko na ya ibada kwa wengine lakini wengi muda huu wako kazini wakishiriana kufanya kazi na shetani..cha kushangaza ukiwaukiza wanaweza kukana kabisa kumjua wala kumfahamu shetani na huu ndio uhalisia wetu UNAFIQUE

View attachment 393483

View attachment 393484View attachment 393485
Kaka lengo ni kuwekana sawa na kusahihishana.

Naanzia hapa.Hivi hii kauli yako isemayo "Namjua Shetani" unamaanisha au unatania?Hili swali ni la msingi sana mintarafu kile ulichokiwasilisha hapa.

Pili shetani ni sifa,kwayo anaweza kuwa nayo binadamu na kadhalika jini.

Ulipoziwasilisha hizi picha kuna maswali kadha wa kadha nimejiuliza.Je muwasilishaji amekusudua kutupa mfano wa shetani au ?Je nani amewahi kumpa taswira ya shetani?Je ni kweli anaweza au eshawahi kumuona shetani katika umbile lake la asili?Bila shaka hawezi,kwa kuwa ukweli ni hawezi bila shaka hizi picha ni za kuchora na kwanini muwasilishaji atuwekee picha za kubuni ?
Bila shaka anachezea akili za watu katika vitu vya kielimu tena vyenye kuhitaji umakini wa dharura yaani umakini mkubwa sana tena wakupigiwa mfano.

Turudi hapa sasa.Je muwasilishaji unamkusudia shetani wa kijini au wa kibanadamu?Swali hili halihitaji jibu kutoka kwako.Bila shaka unamkusudia shetani wa kijini.

Kaka humjui shetani seuze kumfahamu.
 
kiranga haamini uwepo wa huyu kiumbe,

uliwahi kumwona shetani? kujua kitu lazima uwe umekiona ila unafahamu kitu kwa kusimuliwa
Kujua kitu si lazima mpaka ukione huko ni kukata tamaa katika kuutafuta ukweli.

Pia si jambo kutokuamini uwepo wa sheteni wa kijini.

La msingi wanalosahau watu ni kuwa shetani ni sifa.Ila kutokana na wasemavyo watu bila shaka huwa wanamkusudia shetani wa kijini.
 
Hivi ungekuwa unamjua ungeleta picha za kuchora?
Mshana kuwa mkweli bwana
Mbona taarifa kutoka kwenye maandiko zinasema hauonekani wala hashikiki?
Uko sahihi kwakuwa shetani ni formless lakini binadamu tunajaribu kuunda ile dhana ya shetani kitu ambacho ni upotoshaji mkubwa
Tumevizwa na anuani na vitu ndio maana tuna majina
 
umbo lake original
Kweli shetani wa kijini amejaaliwa uwezo wa kujibadilisha katika maumbo shata ( yaani tofauti ),na mara nyingi sana huwa anajibadilisha katika umbile la mbwa mweusi au nyoka mweusi,ila kuna umbile kamwe hawezi kujibadili akawa katika umbile hilo.
 
View attachment 393480

Kwa wale wachangiaji wa kukurupuka watofautishe kati ya kujua na kufahamu
Nakiri wazi kabisa kuwa namjua shetani...huyu kiumbe mbaya kabisa mwenye kutisha na kuogofya hasa.

Kwa mara ya kwanza nilimfahamu shetani kupitia maandiko na simulizi kwenye imani imani yangu...nikasoma na kusimuliwa vizuri tu kuhusu hiki kiumbe na jinsi lilivyokaa kimvuto (japo kinatisha sana kwa baadhi ya picha)nikamfahamu shetani kwa njia hiyo
Kilichofuatia ni kumjua shetani...nimekuwa mshirikina waje kwa miaka mingi tumefanya naye kazi pamoja, tuneshirikiana kwenye mengi na nimegundua ni mtu wa aina gani...shetani ni shetani tuu hata awe na sura nzuri ya kuvutia kama malaika hata akupe kila kitu..sio mwema kwako na daima anania maovu.

Hii ni siku ya mapumziko na ya ibada kwa wengine lakini wengi muda huu wako kazini wakishiriana kufanya kazi na shetani..cha kushangaza ukiwaukiza wanaweza kukana kabisa kumjua wala kumfahamu shetani na huu ndio uhalisia wetu UNAFIQUE

View attachment 393483

View attachment 393484View attachment 393485
Aaaaaah!! MI namjua yule shetani mwenye rangi ya kijani kama kile kidumu cha...... Nduzi
 
Uko sahihi kwakuwa shetani ni formless lakini binadamu tunajaribu kuunda ile dhana ya shetani kitu ambacho ni upotoshaji mkubwa
Tumevizwa na anuani na vitu ndio maana tuna majina
Sasa uzi wako unayafanya wasiopenda kufikiri wazidi kuzipa nguvu imagination zao
 
Mshana@Hivi Kuna shetani waziri....

Ova
 
Back
Top Bottom