Nikiongelea mapenzi unaelewa nini? (KUPENDA)

Nikiongelea mapenzi unaelewa nini? (KUPENDA)

Kiukweli penzi la mbali linataka kukaza sana roho, pole kwa kuanguka ila unayo nafasi ya kurekebisha jitahidi sana ukate mazoea na huyo mpya ukikaidi yatakukuta majuto makubwa,

Wengine tuna maroho ya ajabu tukisaliti kwenye mahusiano basi tutaandamwa na mikosi balaa hakuna utachofanya kikatiki wakati huo huo genye nazo zinawaka kinoma, kwa mara ya kwanza kabisa nimeweza kukaa muda mrefu pasipo kumjua mwanaume, ila sio rahisi
Dah! kukaa miaka 3 sio mchezo mwili unaitaji kunyambuliwa ili akiri zikae sawa

3 years namsubiri yeye aje aninyambue[emoji28][emoji28][emoji28] shida yote hyo yakuugua mgongo uzeen ya nn..

wakat yeye uko aliko anawasuuza sana tu mwishowe mtu anarudi na mke na watoto we ata sex ulikuwa ufanyi unapata maradhi unakufa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Kama ipo ipo tu kujisuuza mhimu, sio sna mara moja moja angalu ata baada ya miezi 2 unapelekewa moto
 
Aiseeeeee!![emoji1][emoji1] qeen jojo bhana
 
Kwa mtizamo huu una safari ndefu mdogo wangu, nadhani ni unajipa faraja ya ulichokifanya kuwa ni halali yako ila nikwambie tu wewe si wa kwanza kukosea ukikiri ndani ya nafsi yako kuwa umekosea hata utakuwa mwepesi na unachotakiws kujua Ni kwamba uaminifu unaufanya kwa faida ya nafsi yako, nimekwambia wengine tukichepuka tu Ni mabalaa chungu nzima nafsi inakuwa nzito km shimo lenye giza totoro hakuna nitakachofanya kikafanikiwa
 
Uko sahihi kipenzi..ila hii ndo dunia na dunia ni watu na watu ndo sisi mhimu kutubu dhambi tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hyu aliye weka story kwenye uzi wa rikiboy ni mtu na nusu [emoji23][emoji23][emoji23]

Kwamba mada yangu isha tungiwa stoy ya kuliwa kimasihara aiseee jf siami wallah
Imeisha hiyo

Pole na ukome
 
Halafu kuna mtu ananiuliza niataoa lini kweli?
Mkuu unaanzaje kuoa wakati wachumba wenyewe ndo hawa wepesi kama maharage ya mbeya..na hawana misimamo kama wanasiasa wa bongo..mtu ukinunua tu lunch unakula tunda...nanukuu 'akaniomba anipe lift nikakataa badae nikakubali'...'akaniomba kiss nikakataa badae nikakubali'....NONSENSE!!!!!!!

wanatema bigji kwa karanga za kuonjeshwa...kesho na keshokutwa age imegonga 30's, hakuna waoaji zaidi ya mashahidi wa RIKIBOY, wachumba wanaanza kukimbilia kawe kukanyaga mafuta ya mwamposa...

Kitu ambacho hakijui mtoa mada ni kuwa, mwanamke ana depreciate as time pass by...ikija kufika 2025, atakuwa anakaribia 30 na hapo atakuwa ameanza kupoteza 'mvuto' na anaweza asitokee hata mwingine wa kununua japo breakfast..mda huo mchumba aliye njie ya nchi atakuwa bado anaweza kung'oa mdada wa 21yrs kwa kipindi hicho..wanaume hatuzeeki tunapauka tu...

NAJUA MTOA MADA atachukia kisa huu ujumbe umeandikwa na FOHADI...ila acha tu nimwambie ukweli....what goes around comes around and karma is the bitch..usiache mbachao kwa msaala upitao..Mimi nimekuja Mwanza short time, bado hujajua nina vimada wangapi ukiacha wewe..Bado hujanijua kiundani unataka kumuweka kwenye dustbin mtu ambae we mwenyewe kwa akili zako na ukiwa na uelewa umekiri na kumpa hadhi ya MCHUMBA.

Ni rahisi kupata wapenzi au mapenzi ila sio rahisi kupata mpenzi wa kweli au Mapenzi ya kweli...Katika umri wako queen jojo inabidi utulie na mtu ambae angalau unamjua na unayajua madhaifu yake kwa muda kidogo (I mean mpenzi wako)...Usijaribu kucheza gamble kwa kumtosa mchumba wako kisa huyu mshikaji wake Riki boy...utaliwa na watasepa...

Halafu kingine, usiwe as cheap as hivyo..nakumbuka ushawahi kuleta uzi humu kuwa mgeni wa bro wako alikukula siku ya kwanza tu mmeonana tena alikulia pale pale kwa kaka yako pindi kaka yako ametoka kufata mgeni ubungo...Usiwe rahisi kama hivyo...Kama kweli unataka husband material basi nawewe jaribu kuwa wife material.....Usipo jitahidi kubadili personality yako, utaletewa sana wala matunda kimasihara kama sisi na wale wenye true love kama mchumba wako utawaona hawafai eti kisa umekalili kuwa fimbo ya mbali haiui nyoka..

Kumbuka, ndege wafananao, huruka pamoja..ni muda wako sasa kuchagua kufanana na yupi (wife material au maharage ya mbeya)....Ukichagua kuwa wife material Mungu atakuletea Husband material...ila ukichagua kuwa maharage ya mbeya, tutaendelea kukukula na wewe utaendelea kutuita tunapenda kulelewa....Akili kichwani mwako na maamuzi mikononi mwako...All the best.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom