Mzigua_255
JF-Expert Member
- Jun 25, 2026
- 815
- 1,650
Wakuu Kichwa kinajieleza Wewe ukisikia neno mkosi unaposikia kijana fulani ana mikosi unaelewa nini?
Nimekuwa nikisikia watu wakisema mtu fulani ana mkosi
Je, unaposikia neno mkosi
UNAELEWA NINI?
Toa mtazamo wako?
Nimekuwa nikisikia watu wakisema mtu fulani ana mkosi
Je, unaposikia neno mkosi
UNAELEWA NINI?
Toa mtazamo wako?