Nikiongelea mapenzi unaelewa nini? (KUPENDA)

Nikiongelea mapenzi unaelewa nini? (KUPENDA)

Mimi nina amini dada hawezi andika kila kituuuu lazima kuna viji sub process ambavyo hajaandika, kama kuna mtu anaamini kabisa yeyey hata chepuka mpka mwisho wa maisha yake basi ruksa kuendelea kumshambulia huyu dada! ingawa wengi wetu ni wazuri sana kulaaumu na kumkashifu mtu ambaye kajitangaza na kuomba ushauri kuhusu kuchepuka kwake.
Mimi kwa niabba ya huyu dada naomba tumsaidie nimesema hapa kuna MAZOEYA upande mmoja na MAPENZI upande wa pili, tafadhali tuchangie ili aweze kuchagua, tuache lawama tuache kashfa, hujuwi kesho yako NDUGU!
 
Tak care jojo jamaa wak akijua atahamisha makaz hafu usije ukajikuta wote wanakuacha aiseh ukaanza kusema mungu akupendi
 
Sasa kama unaona huwezi kukaa bila kupigwa miti nyama kwa mda mpaka pale mchumba wako atakoporejea kwanini usimwambie ukweli????

Mwambie tu ajue kuwa hana chake tena.
We wako usha mwambia kuwa unamsaliti???
 
Nipo nasoma tu ushauri wa malaika watakatifu wa JF!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Imagen adi mimi washa niamisha hakiri saa hv nawaza coment zao tu na sio hyo jamaa
 
Mimi nina amini dada hawezi andika kila kituuuu lazima kuna viji sub process ambavyo hajaandika, kama kuna mtu anaamini kabisa yeyey hata chepuka mpka mwisho wa maisha yake basi ruksa kuendelea kumshambulia huyu dada! ingawa wengi wetu ni wazuri sana kulaaumu na kumkashifu mtu ambaye kajitangaza na kuomba ushauri kuhusu kuchepuka kwake.
Mimi kwa niabba ya huyu dada naomba tumsaidie nimesema hapa kuna MAZOEYA upande mmoja na MAPENZI upande wa pili, tafadhali tuchangie ili aweze kuchagua, tuache lawama tuache kashfa, hujuwi kesho yako NDUGU!
Unajua snaa mkuu mungu akuongoze kwa busara ulizo nazo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hyu aliye weka story kwenye uzi wa rikiboy ni mtu na nusu [emoji23][emoji23][emoji23]

Kwamba mada yangu isha tungiwa stoy ya kuliwa kimasihara aiseee jf siami wallah
 
Mbna hii stori kama nmeiona kwenye uzi wa kula kimasihara [emoji15][emoji15]
 
Umeliwa kimasihara..

Mkuu achana na hizo kabichi za mpito,, mwisho wake huwa ni majuto... Hata kupeleka popote...

Huo muda na attention anayokupa ndio vinakuchanganya,,, hapo hamna mapenzi ni mlaji tu...

Achana nae huyo
Thank me later
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Imagen adi mimi washa niamisha hakiri saa hv nawaza coment zao tu na sio hyo jamaa

Kwa mwandiko wako huu itoshe tu kusema umefowadi tu hiyo stori.
 
Mbna hii stori kama nmeiona kwenye uzi wa kula kimasihara [emoji15][emoji15]
Mwenyewe eti anajifanya haijui hii story ananiuliza kuna nn mbona haelewi kinacho endelea [emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom