Kbla sijaendelea kuandika niombe radhi tu kwa yeyote nitakae mkwaza kwa namn moja ama nyingine, nacho kiandika hapa ni ukweli mtu nimependa yaan niko deep sielewi najinasuaje.
Habarini wana jamvi nipo hapa
qeen jojo mnisaidie tu najinasuaje kwa hyu jamaa...
PICHA LINAANZA: Nipo kwenye [emoji183] na mtu ambaye kwa sasa hayupo nchin, toka ameondoka ana 7 months now,
Mimi ni mdada nina 24 years, nina fanya kazi kwenye campun moja( ) hapa jijin mwanza..mbali na hyo ni mjasiriamali ambaye najishugulisha na biashara ya mtandaoni..
toka mwezi wa 8 mchumba angu alipo safiri sikufikiria kama kuna siku nitamsaliti wala kuwa na hisia za kimapenzi na mtu mwingine,Kwa maana toka mwezi wa 8 sikuwahi kufanya mapenzi na sikuwa na mpenzi isipo kuwa yeye tu,
Mwezi jana nilikutana na mkaka flan hivi wa kichaga ilikuwaje ........
Ilikuwa asubuhi kama kawaida watu uamka na kuangalia majukumu ya hapa na pale ,siku hyo nilichelewa sana kazini hvo niliamka chap chap nikajiandaaa na kuondoka..
Nilipo fika kazin nilimkuta mlinzi getin ambaye alinikaribisha kwa kunitania uku akinipa kitabu niweke saini, fasta nikaweka saini na kuingia ofsn..
Niliingia ndan nikawakuta wenzangu 3 wamefika wanaendelea na majukumu yao kama kawaida, nilifika kujiunga nao tukaanza kupiga story za hapa na pale, basi tulifanya kazi mpka muda wa chai kufika,kawaida chai uletwa kazin lakn siku hyo haikuwa hvo kama tulivo zoea..
Hvo ilitubidi tutoke nje kwenda kupata chai, katika harakat za kumaliza kunywa chai nikiwa najifuta mikono yale mafuta hotelin aliingia mkaka mmoja hvi sio mweupe wala sio mweusi, huyo kaka alifika kukaa meza ya mbele tulipo kuwa tumekaa sisi
Kusema ukweli nilijikuta namuangalia sana yule kaka mpaka wenzangu wakaniambie we endelea kushangaa sisi utatukuta ofsn, ilinibidi niondoke uku nikimtania mhudumu kuwa sijashiba...
Basi niliondoka kwa bashasha sana , lakin kufika kazin niliwaza sana nilitamani kumuona tena hyo kaka,nilijilaumu kimoyo moyo kwa nini nisingemwambia mhudumu aniombee namba au kuandika namba nimpe mhudumu ampe, nilijiraumu sna..
Nilikaa mpka saa 7 ambapo lunch tuliletewa ofsn,ila cha kushangaza kwenye chakula changu chin ya sahani kuna karatasi ina namba za simu !! nilimuuliza hyo aliye leta chakula akaniambia kuna mkaka yule aliye wakuta mnakunywa chai ndo kakununulia chakula kwa sababu alikusikia ukisema haujashiba,! nilitaamki kisha nikacheka tu
Kwenye hyo karatasi kuna maneno yameandikwa yafuatayo ( Natumai utashiba sasa,kula kisha nipgie unishukuru ) mhhh! nilitabasamu tu kisha nikakunja ile karatasi nikatia kwa poch
Kazi ziliendelea uku namtafakari kwa kina, basi ilifika jioni nilitoka kazin kawaida nikitoka kazin naunga kwenda kuchukua order za wateja wangu ambapo inanichukua muda mpk kumaliza kuzungusha inanichukua muda na narudi nyumbn usiku saa tatu na nusu usiku...
basi nilipo fika nyumbn nikawaza sana nimtafute au niache, kunaa hakiri ikaniijia ukimtafuta utajirahisisha hvo nilikaza mpka kesho yake,ambapo aliomba namba yangu kazin kwangu kwa mlinzi
Ilipo fika jion nilipgiwa simu namba ngeni,niliuliza nan alinambia jina lake na kunifafanulia kwa kina ili nimfahamu vizuri, ooh nikajikuta nimemkumbuka ndipo story zilianzia hapo
Kusema ukweli jamaa hakunitongoza ila alijifanya rafiki tulipiga sana story usiku..
Mazoea yalizidi kukua mpka siku moja akanialika dinner,kweli nilitoka..lakin kimbembe kilikuwa kwa mchumba angu ambaye uwasiliana kila siku usiku kwa njia ya whtsapp, hvo siku hyo nilimtext nikamwambia bandle linakata saa tatu so sita kuwa hewani, na ilivo fika huo muda nikazima data ila simu nikaacha hewan, bila kufikia kuwa mchumba angu angenipgia simu kwa njia ya kawaida ..
Niliitisha na kuondoka mpk alipo kuwa , nilifika mida kama ya 3:48 nilimkuta kasha fika akiwa ananisubiri, tulikaa na kupiga story lakn ilivo fika saa 4:30 nilishangaa kuona mchumba angu ananipgia simu tena kawaida! sikuwa na budi nilimuomba niongee na simu akaniruhusu nikatoka kuelekea chooni, nilipokea simu kabla sijaongea ilisikika sauti akisema nakupenda sana mama watoto jichunge sikuwa na namna nilijibu nakupenda pia mume wangu,aliniuliza uko wap mbona kama haupo nyumban nilimwambia niko nyumban honey sema nipo naangalia tv tu niko bored leo
Alinipa pole na kunitakia usiku mwema tukaagana akakata simu , nikarudi kwa hyo jamaa ambapo tulikaa mpka saa 7 usiku alinirudisha nyumban..
Ila nikiwa nataka kushuka kwenye gari alinishika mkona na kunirudisha kwenye kiti ambapo alinishukuru kwa campan yangu,nilishukuru pia, aliniomba anikiss kwenye paji la uso nilikataa lakin alisisitiza ikabidi nimruhusu, alininikiss kisha akaniambia ametokea kunipenda sana! skuwa na la kumjibu zaid ya kusema asnte san nashukuru..
Aliomba nafasi nipe ya kuwa na mimi, nilimwambia usijal kila kitu kitakuwa sawa, lakin nikiwa naongea alinishika shingoni na kuninyonya mate sikuwa na namn nilijiachia tu..
ajabu aininyonya shingo na kuniachia malovebit kama yote, eeh nilimuomba aniruhusu nikalale hvo akaniachia mw nikaingia zangu ndan, ajabu ni kwamba kumekucha asubuhi najiona kama nimengatwa na mdudu maarama shingoni kama dam imegandian hv ...
nikwa mara ya kwanza nakutana na fundi wa kuweka malovebit kwa shingo hukuwai kutokea kbla, nilitabasamu ila pia ilinibdi nivae skaf kuficha shingo
Asubuhi alinipgia simu na kuniuliza nisha ondoka nikaji bado akaomba aje anifate anipeleke kazin, nilikatatalia lakin aliomba hvo nilimruhusu akaja na kunipeleka kazin, ikawa kila siku usiku lakima nikutane sasa kila navo zidi kuwa nae karibu ndo navo zidi kuvutika kwake
sasa jmn juzi kati hapa nilishindwa kujizuia nilimpa jamaa tunda, ambapo baad ya kile kitendo jililaumu sna kwa nn nimefanya hvo ina maan nimeshindwa kujizuia, lakin ajabu nikwamba najuta lakn pia nimetokea kumpenda sana mkaka hyo
amekuwa mtu anaye nicare san,anajali, hatuna muda mrefu lakin kila mara uniweka kribu..ninampenda sana tena zaidi ya sana yan kuna kuda nikiwa nayw sitamni aondoke natak tu kila mara niwe naye kribu nimedata na ata sijielewi muda wote namuwaza yeye tu
Nifanye nini mimi maan najiona navo msahau mchumba angu tena ambaye tuna ahadi ya kuoana jamaa kaniteka mimi..
Asanteni