kupenda ni mateso!

kupenda ni mateso!

Unaumiza moyo kwa kupenda mtu kisha anakuacha.jamani ni machungu ambay ni ya kujitakia
Unakuwa unatumia muda mwingi kwa mtu, unaahirisha mipango yako na kuharibu ratiba zako kwa sababu yake. Unatoa muda, nguvu na hata pesa zako ukidhani unajenga kitu cha maana. Mwisho wa siku, mtu huyo anaondoka tu bila kujali gharama uliyolipa. Hapo ndipo unapogundua kuwa si kila unayempa nafasi kubwa kwenye maisha yako anakupa nafasi hiyo hiyo.
 
Ni ajabu kukuta mwanaume nae analilia mapenzi
Mwanaume naye halili mapenzi, lakini mara nyingi hulilia jasho, nguvu na muda aliopoteza kwa mtu ambaye hakuwahi kuwa na uhakika naye. Unawekeza muda, unajitoa na kuweka pembeni mipango yako kwa ajili yake, mwisho anaondoka kana kwamba hakuna chochote kilichotokea.
 
Back
Top Bottom