Usiyakatie mapenzi tamaa!

Usiyakatie mapenzi tamaa!

Raha ni kujipa mwenyewe...
IMG-20260718-WA0013.jpg
 
Mara nyingi tunarudia makosa yale yale kwa sababu tunachagua watu wenye tabia zile zile tulizozizoea.
 
HILI NALO MKALITAZAME.

Mimi kama mama yenyu sipendezwi na jambo hili.

MAPENZI yamejaa utapeli na ubinafisi sana.

Hebu fikiria wewe ni mfupi halafu mtu anataka TALL, DARK and HANDSOME. Na bado anakula hela zako na kwenda kugawa mbunye kwa TALL, DARK and HANDSOME.

Ukimvunja taya anatoa milio na kukimbilia kuripoti kwa Dokta Doroti Gwajima (Gwajizo).

Mnataka sisi maandunje tupendwe na nani??eti? sisi akina NYADUNDO twende wapi?

Bora hata daddy angu Mbaga Jr ananipenda jinsi nilivyo ndio maana siachi kumsusia atakavyo.
 
Back
Top Bottom