sasa mkuu kwa comments hizi za kupachika mimba na kulala mbele tunakosaje kuwa na wanawake m****a kama ulivyosema hapo juu?Hata kama jamaa angekuwa amekuoa na bado tunda ungetoa tu!mwanamke malaya hawafai kabisa kwa matumizi ya kuoa ni kupachika mimba na kulala mbele
Dear qeen jojo take this piece of advice and you will thank PANAROID laterSometimes unaweza kumwomba Mungu akupe kitu ambacho hujui kama unakitaka. Mkuu kuna wanawake wanatamani sana wangekuwa kwenye nafasi yako, lakini wewe unapuuzia baraka ulizonazo. Kama una mchumba na una kazi yako kwa nini usiwe na shukrani.
Kuwa makini mkuu kibaya kuhusu maisha ni kuwa, chochote unachokichukulia poa katika maisha utakipoteza. Na huo ndiyo ukweli mchungu sana.
Count your blessings, be thankful.
Mshana jr kwa stage nikiopo ata hayo majuto siyaoni...najua fika nacho kifanya sio sahihi lkn nashindwa eti jmn...kuna muda nahisi uchizi kbsaa yaan hauijawai kuwa mdhaifu kwa mapenzi kiasi iki mimi ata sielewiPole sana rafiki... Lakini huu mwaka unaweza kubeba majuto mengi kwenye historia ya maisha yako
Dah! bila shaka nimekuelewa mkuu...mtu upendwa kutokana na alivo...ila ukiniuliza kwa hyu mkaka ni hisia za haraka haraka nikama ile umuone mtu alafu usiye mfahamu na uwe na shauku ya kuwa nae nso ilivo kuwa kuwa lengo langu halikuwa kuwa deep kiasi iki yaan najikuta tu jamnMapenzi ni hisia ambazo mtu anakuwa nazo kuelekea mtu wa jinsia tofauti(hapa kulingana na mrengo wa stori yako)
hisia ambazo humfanya ajitoe kabisa kwa ajili ya yule mtu mwingine,hisia ambazo zinamfanya mtu atake kutumia Maisha yake yote pamoja na mtu huyo mwingine
lakini pia kuna tamaa au infatuation ambapo hii ni zile hisia za upesi upesi zinazokuja kutokana na vitu vya upesi upesi kuonekana kama mwonekano wa mtu n.k
kwa hiyo kwa huu mkasa wako jiulize maswali machache hapa my dear na naomba ujijibu kwa unyoofu kabisa bila kuficha huyo mchumba wako mlikutanaje? mara ya kwanza kukutana naye ulihisi kama ulivyohisi ulipomwona huyu wa sasa?alipokuomba uchumba ulikuwa na shaka yoyote? nini kimekuvutia kwa huyo mchumba wako?iliwachukua muda gani kuingia kwenye mahusiano ya kimapenzi na huyo mchumba wako?
Mkuu moyo hautaki.kuukubali ukweli nafs inajitaidi sana kunitoa uko ila moyo [emoji17]moyo aisee me sielewi...kuna muda nazima simu ata asinitafute lakn ajabu nikwamba siwezi nazima dakika 2 nawashaSometimes unaweza kumwomba Mungu akupe kitu ambacho hujui kama unakitaka. Mkuu kuna wanawake wanatamani sana wangekuwa kwenye nafasi yako, lakini wewe unapuuzia baraka ulizonazo. Kama una mchumba na una kazi yako kwa nini usiwe na shukrani.
Kuwa makini mkuu kibaya kuhusu maisha ni kuwa, chochote unachokichukulia poa katika maisha utakipoteza. Na huo ndiyo ukweli mchungu sana.
Count your blessings, be thankful.
Mkuu shetani ni mnafiki sana, anataka ujichimbie kwenye shimo ambalo ikifika wakati wa kutoka ni kazi na shetani anakukimbia.Mkuu moyo hautaki.kuukubali ukweli nafs inajitaidi sana kunitoa uko ila moyo [emoji17]moyo aisee me sielewi...kuna muda nazima simu ata asinitafute lakn ajabu nikwamba siwezi nazima dakika 2 nawasha