Nikiongelea mapenzi unaelewa nini? (KUPENDA)

Nikiongelea mapenzi unaelewa nini? (KUPENDA)

Mshana jr kwa stage nikiopo ata hayo majuto siyaoni...najua fika nacho kifanya sio sahihi lkn nashindwa eti jmn...kuna muda nahisi uchizi kbsaa yaan hauijawai kuwa mdhaifu kwa mapenzi kiasi iki mimi ata sielewi
Nakuombea sana asije akakuumiza huyu
 
Muombe mungu akuepushe iyo tamaa
sasa angalia umejiweka kwenye matatizo wew una amin kabisa mapenz ya gafla kabisa jamaa anakupenda au anatak hit and run? naona kabisa udhaifu wako kuna wanaume ma hb san wapo weng lasivyo utaliwa sana.
Hahaaha mkuu basi unazani ata ni hb basi ndo maan nasema ata sielewi ni wakaida san yule mkaka ila ananivuruga mbayaa.....
 
Mshana jr kwa stage nikiopo ata hayo majuto siyaoni...najua fika nacho kifanya sio sahihi lkn nashindwa eti jmn...kuna muda nahisi uchizi kbsaa yaan hauijawai kuwa mdhaifu kwa mapenzi kiasi iki mimi ata sielewi
Mguvu ya namna hiyo ni ya kuzimu na umeshaingia agano na kuzimu sasa hivi hutaelewa utakuja kuelewa baadaye sana

Ilishawahi kunitokea kumuona binti bin vuuuu nilimwangalia mpaka akaona aibu mpka nilimsindikiza kwa macho kwa kuwa ndo nilikuwa naanza chuo , yy alikuwa akinikwepa Mungu yu mwema nimekuja kifaham kuwa yule dada ni mshirikina balaa niko mwaka wa tano

Alinitafuta baadaye tuzungumze kwa kuwa nilikuwa nishajua nilikacha


Nikaponea mumo mumo
 
Ambacho nimefurahi ni kwavile haujaleta ujinga wa 'Itaendelea' kuhakiki stori kama ni ya kweli hapo akili kumkichwa kwa wasomaji.
 
Haha polee bana hata sie yanatukutaa aiseh una dem wak mkal gafla umezama chumvin kwa mtoto mwingine hafu kutoka inakua kaz tena Hahah.
Angalau ata umeelewa ujue kuna watu wanazani ni masihara hapa
 
sasa mkuu kwa comments hizi za kupachika mimba na kulala mbele tunakosaje kuwa na wanawake m****a kama ulivyosema hapo juu?

halafu mkuu unadhani kumpachika mwanamke mimba na kulala mbele ni sifa na jambo la kujivunia?

hicho kiumbe ulichokitengeneza na kusepa kimekukosea wewe nini? na lengo lako la kufanya hivyo ni kwamba unakikomoa kiumbe au mama yake?mwanamke wa namna hii akitoa mimba kwa sababu ya labada kukosa support unahisi wewe utakuwa salama na dhambi ya uuaji?utakuwa umefaidika na nini?tuseme wewe ungekuwa ni mtoto ambaye baada ya mimba kutungwa ukatekelezwa na baba ambaye labda alikuwa na mawazo kama yako ungehisije? leo hii ukisikia dada yako au mdogo wako wa kike kapewa mimba na kutelekezwa utahisije?

Halafu mkuu they say what goes around comes around,unapokuwa ukisema maneno kama haya jihakikishie,narudia tena jihakikishie hupati mtoto wa kike maishani mwako,kwa sababu kuna maneno huwa hayaanguki chini hivi bila kumrudi aliyeyatamka

tafakari sana kila unachokiongea labda kama unaongea kufurahisha genge ila humaanishi,ila kama unamaanisha kaa vizuri kabisa na usubirie kuona maneno yako na matendo yako yakifanyiwa kazi na vijana wanaokuja kwa binti au mabinti zako wapendwa

Sihitaji mahubiri kwenye comment yangu!hauoni upande wa pili kama jamaa nae amewekeza vitu vingi kuhusu huyo mwanamke kwa kutegemea wataanzisha familia pamoja kumbe kawekeza kwa mwanamke malaya!?umevaa viatu vya huyo jamaa lkn?
 
Ambacho nimefurahi ni kwavile haujaleta ujinga wa 'Itaendelea' kuhakiki stori kama ni ya kweli hapo akili kumkichwa kwa wasomaji.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hii ni the end mkuu...maan ningesimulia nilivo deep mungeniona nimerogwa kumbe ni mapenzi tu
 
Sihitaji mahubiri kwenye comment yangu!hauoni upande wa pili kama jamaa nae amewekeza vitu vingi kuhusu huyo mwanamke kwa kutegemea wataanzisha familia pamoja kumbe kawekeza kwa mwanamke malaya!?umevaa viatu vya huyo jamaa lkn?
Ashukuriwe aliye kuumba...ila kama umezaliwa na mwanamke uwezi muita mwanamke malay ungefikilia mbali kdgo edhi za usichana wa mama ako aliye mubikiri ndo aliye muoa au lah?????????

kama ujawaza ilo basi wekeza hayo mawazo kwa mabint zako hakikisha anaye mubikiri ndo anaye muoa

Binadam#
 
Mapenzi ni hisia ambazo mtu anakuwa nazo kuelekea mtu wa jinsia tofauti(hapa kulingana na mrengo wa stori yako)

hisia ambazo humfanya ajitoe kabisa kwa ajili ya yule mtu mwingine,hisia ambazo zinamfanya mtu atake kutumia Maisha yake yote pamoja na mtu huyo mwingine

lakini pia kuna tamaa au infatuation ambapo hii ni zile hisia za upesi upesi zinazokuja kutokana na vitu vya upesi upesi kuonekana kama mwonekano wa mtu n.k

kwa hiyo kwa huu mkasa wako jiulize maswali machache hapa my dear na naomba ujijibu kwa unyoofu kabisa bila kuficha huyo mchumba wako mlikutanaje? mara ya kwanza kukutana naye ulihisi kama ulivyohisi ulipomwona huyu wa sasa?alipokuomba uchumba ulikuwa na shaka yoyote? nini kimekuvutia kwa huyo mchumba wako?iliwachukua muda gani kuingia kwenye mahusiano ya kimapenzi na huyo mchumba wako?
Ushauri mzuri sana huu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom