Kama kijana niliyelelewa kwenye maadili

Kama kijana niliyelelewa kwenye maadili

Kazanazo

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2023
Posts
7,733
Reaction score
12,429
Nimelelewa na wazazi na kufundishwa kuwa muadilifu, mtiifu, mwenye heshima kwa mkubwa na mdogo

As nimekulia kileji katika harakati za utafutaji nikaibukia town, niseme tu life ya town ni tofauti sana kwa kijana mwenye maadili na alielelewa katika kuheshimu, kuwa na haya na kutenganisha masuala ya kikubwa, Siri na faragha

Hapa katika kujitafuta kwangu bado vitu viwili vitatu nikikamilisha narudi zangu kileji nikawakuze watoto wangu kama nilivyokuzwa

Kuna Dunia halafu kuna mjini huku mjini ni Dunia nyingine aisee
 
Jana nilitafuka kipande cha foil kwenye chapati🥲.

Msiponiona kwa muda utakuwa ndio baasi tena.
 
Kweli kabsa, mjini vurugu za maisha ni nyingi tofaut na kijijini, mjin thaman ya mtu ni ndogo c kama kijijin, mjin wenye maadil ni wachache! Mjin swala la kunyongelewa mbali na wahun ukijichanganya ni kugusa tu! Niny mliozoea hizo hekaheka endeleen kukaa huko, cc wengne pamoja na mtoa mada tutakaa kwenye miji ya kawaida tu (sehem zenye center) au kijijin kabsa!
 
Ni kweli kabisa maisha ya kijijini hayana hekaheka ni mwendo wa kuheshimiana na kujaliana
 
Back
Top Bottom