Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 5,321
- 11,410
Ana maadui wengi kuliko marafiki. Upande wa CCM na Wapinzani. Alishaharibu kote.
Mwenzetu Pascal Mayalla ni mmoja ya watu ambao wanaonesha kuwa waliathiriwa sana na Gwajima hasa jimboni Kawe. Mpaka leo amebaki kuwa na chuki si Pascal yule kabla ya kubadilika na kuwa mwanasisi emu njaa.
Mimi sikuwahi mkubali Gwajima toka kipindi kile anagombana na Bashite. Lakini kwa kipindi hiki nasema kwa alichosema kuhusu Corona tumjibu kitaalamu aelewe na si kwa chuki au jazba.
Mimi naamini kama tutatumia vizuri nafasi hii wengi wataelimika. Kuliko kufanya siasa za chuki,kisasi,husda na ghiriba dhidi yake.
Leo pascal anashangilia mipasho ya Gwajima waziri kwa Gwajima Mbunge kuitwa Kibwetere. Pascal anachezea team ya mchangani na ligi ya ndondo kabisa.
Kutoja pascal yule aliyekuwa ana uwezo wa kucheza na fasihi na kuandika vimistali viwili vitatu vya Kiingereza kibovu lakini haikuwa mbaya mpaka huyu anayeshabikia mipasho ya waziri ambaye ameshajisaliti kwenye msimamo wake.
Tuwaelimishe watu kama Gwajima kitaalamu na si vijembe na mipasho.