Mtanganyika
JF-Expert Member
- Jul 18, 2007
- 1,601
- 964
Wajasilimali wa JF, swali langu ni simple. Nataka kukupa Millioni ishirini, jee utaziwekezaje? Masharti ni kwamba ndani ya miaka mitatu nataka nusu ya mtaji wangu, na asilimia 25% ya kampuni yako.
Niambie Millioni ishirini utawekeza wapi?

nitaoa mme wa tatu, nitanunua vitanda 6x6, nitawanunulia wake zangu tv set kila mmoja pamoja redio za maana, nitawanunulia mabaibui, kanga, cheni na pete za ukweli, nitanunua kanzu za ukweli pamoja na suti, nitalipia kahawa pale kijiweni ya mwezi mzima..kama kutakua na cheji nitamfungulia genge bi. mkubwa...
Wajasilimali ndio kina nani?
Kuandika vizuri kunakushinda utaweza kweli kuwa na millioni ishirini? na kama kweli unazo tuoneshe ulivyozipata na kodi ulizolipa. Ukishindwa basi hizo ni fedha za wizi na unataka kuzihalalisha kwa kutuletea humu tukupe maarifa.
Kama kweli ni hivyo, kaziwekeze CHADEMA huko ndio kunakufaa!