Kama utanipa ml 20,000,000 nitafungua kiwanda cha kufanya recycling ya makopo ya plastiki.
Mashine yake itanigharimu almost 8,000,000 inclussive gharama za instalation.Na pesa itakayobaki nitaitumia kwaajili ya kulipa pango ya jengo la kuweka mashine pamoja na mtaji wakununulia makopo.
Hii itanipa uwezekanao wakutengeneza faida si chini ya 2,000,000 kwa mwezi.
Hapa kutakua na faida kama tano:
(1)Kutoa mchongo kwenye usafi wa mazingira
(2)Nitatoa ajira kwa wafanyakazi ndani ya kiwanda na nje ya kiwanda namaanisha wanaookota makopo
(3)Nitachangia nchi yangu kwakulipa kodi
(4)Nitajiajiri mwenyewe
(5)Nitalipa deni langu la mkopo kwa HESLB.