Nikikupa Millioni 20 Utazifanyia nini?

Wajasilimali wa JF, swali langu ni simple. Nataka kukupa Millioni ishirini, jee utaziwekezaje? Masharti ni kwamba ndani ya miaka mitatu nataka nusu ya mtaji wangu, na asilimia 25% ya kampuni yako.

Niambie Millioni ishirini utawekeza wapi?
Nitalima alizeti...na kukamua mafta na kuuza triple refined.
Nitafuga kuku,bata na bata mzinga na ndege wa kila aina....mbolea zao nitaweka bustani ya mboga na kufuga swamak.
 
Invest in mgahawa , transport au agriculture.
MGAHAWA
Nakodi fremu then natafuta mpishi fundi ambaye atapika msosi wa hatari. Then chakula kinakua cheap na chenye ubora wa hali ya juu. Lazima ikulipe.
Transport
Kwa hela hiyo nanuua hiace suka mwenyewe napiga daladala village lakini kwa malengo ya kukusanya 60K kila siku after 360 days Nina almost 21 million. Naongeza nyingine then ndio itakua trend. Mpaka miaka mitatu ifike ntakua na kampuni yenye gari za kutosha.
Hapohapo kwenye usafiri naweza tafuta used truck mfano mistubish canter then na ingia nayo kijiweni, mapato kwa siku 100K cuz dereva mwenyewe after a year nina 36 mill. Natumia pesa hiyo kununua gari mpya zaidi. Zikiwa mbili mapato yanaongezeka so mwaka unaofuata natafuta truck Kubwa zaidi eg Fuso fighter. Mpaka miaka mitatu ipite 20Mil yaweza nizalishia truck 5 za maana.
KILIMO
hapa naingia chaka natafuta ardhi kama heka 5 nachimba kisima then nafanya kilimo cha umwagiliaji heka tatu nalima vitunguu, moja nyanya na moja iliyo baki nafuga mbuzi katoliki inisaidie mbolea na mdudu mwenyewe anakua bidhaa pia.
...
 
Nitalima alizeti...na kukamua mafta na kuuza triple refined.
Nitafuga kuku,bata na bata mzinga na ndege wa kila aina....mbolea zao nitaweka bustani ya mboga na kufuga swamak.
Soko la hao bata mzinga upo?
 
Mimi nipe hizo mlete na mtu unayemwamini ila atakuwa chini yangu. Baada ya mwaka na nusu nakurejeshea usd 20000 umiliki 20%. Serious. Ukitoa usd 50000 same case unapata 100000. Ila shart
lazima kusajili kampuni kwanza
uwe tayar biashara iwe popote penye movement

Strengths
Nina tayari soko la hiyo biashara
Ni tayar suppliers wa uhakika

Weakness
Kwenye pesa ni mkax faida kwanza ndo maelewano. Sio sijui mke anataka kwenda salon nitumie milion hupat.
 
Wana JF, swali nililouliza hapo ni ukweli asilimia 100. Mpango wangu ni kuleta kitu kipya kabisa kwenye Tanzania market, maarufu kama venture capitalist au Angle Investor. Lengo kuu ni kuwatafuta entrepreneur ambao wanamawazo ambayo yana make sense, (start up business). I will find mtaji, hakuna Interest payment lakini kuna Investment recoup ndani ya muda flani na asilimia fulani ya business ownership with % fulani ya annual divided payout. All the cash injected are specific kufund growth.

I am looking kwa wajasiliamali ambao wana product zaidi ya wale ambao wanataka copy cut. Good starting point kwa wote.
naona mkuu ulikuwa unaanzisha thread zenye upeo wa juu sana jamaa wakawa hawakuelewi
 
Nipe milioni 3 nikupe wazo na wala hutomkopesha mtu fanya mwenye 90% utafanikiwa trust me
 
Million 10 nitachimba kisima cha maji Safi Maan eneo ninalo na nitafanya irrigation Kwa kulima maza ya mboga mboga MI nitakurudishi ndani ya mwaka mmoja tu
 
Wajasilimali wa JF, swali langu ni simple. Nataka kukupa Millioni ishirini, jee utaziwekezaje? Masharti ni kwamba ndani ya miaka mitatu nataka nusu ya mtaji wangu, na asilimia 25% ya kampuni yako.

Niambie Millioni ishirini utawekeza wapi?
Km uko serious nifynd kwa e-mail yangu nicksonmjuni@gmail.com nikupe project ya samak moshi uko kufuga samaki wa sato, kambare now bado sangara na mgebuka wa kigoma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom