Nikikupa Millioni 20 Utazifanyia nini?

Nikikupa Millioni 20 Utazifanyia nini?

Mimi ntafungua franchise Business amboyo itaweza generate faida ya million 100 kwa mawaka wa kwanza.
 
Mi kama sijaelewa vile. Hela unanipa, yaani sio mkopo. Halafu unataka nusu ya mtaji wako baada ya 3yrs (mtaji upi sasa! hela si ulinipa?). Halafu 25% ya kampuni ndio nini hapa, sijakuelewa kabisa.

Kama 20m ni mkopo unaotakiwa kurudi pamoja na riba ya 50% ya 20m, hapo shughuli pevu. (halafu ile 25% ya kampuni inaingia vp hapa sasa?)

Hebu nifafanulie ndugu yangu, wengine sisi kiswahili lugha ya pili tulikikuta primary school

Mkuu, kama unamiliki biashara, au una aidia ambayo unajua dhamani ya aidia yako. Means unafahamu cash inflow ya badae, then unaweza kufahamu thamani ya biashara yako. Nikikupa Million 20, ndani ya miaka mitatu nataka 10Million back, then kumi naacha kwenye biashara yako lakini nataka 25% umiliki wa biashara yako. Maana kama unatoa Million 3 mwisho wa mwaka kujilipa wewe, mimi unanitumia 25% yake. Sababu I am a minority owner.


Kuna wajasilimali wenye idea ya kuleta Product kwenye market? Naona wengi wako kwenye service na kucopy biashara nyingine. I am interesting kusikia wajasilimali walipo kwenye technology na mambo kama hayo.
 
Nitafuga kuku wa kienyeji
That is a very simplistic answer kama wewe kweli ni mshauri wa biashara. Umeambiwa unahitaji kurudisha nusu ya mtaji na 25% ya thamani ya kampuni baada ya miaka mitatu. Hiyo ina maana biashara yako iwe na uwezo wa ku-generate cashflow ya ziada ya shs.10m/= bila kuathiri uendelevu wa biashara yenyewe. Baaada ya hapo lazima uangalie ukuaji wa kampni, yaani growth rate. Growth inaweza kuwa katika aina nyingi, ikiwa ni pamoja na kukua kwa faida ya kila mwaka, kukua kwa mtaji, kukua kwa wingi wa bidhaa unazozalisha, n.k. Kutokana na hayo unaweza kukisia thamani ya kampuni yako baada ya miaka mitatu. Ukipata hiyo thamani ndiyo unaweza kuamua kama pendekezo la jamaa lina mantiki au hapana. Mimi naweza kuzikataa hizo milioni ishirini kama hesabu zinanionyesha kuwa kurudisha milioni kumi na 25% ya tamani ni kampuni ni kama nilikuwa namfanyia kazi jamaa. Yeye kaka anastarehe mimi naangaika na kukuna ubongo wangu na baada ya miaka mitatu yeye ndiye anapata share kubwa ya mafanikio yangu. Hapa naogelea legal and honest business.
 
Wajasilimali wa JF, swali langu ni simple. Nataka kukupa Millioni ishirini, jee utaziwekezaje? Masharti ni kwamba ndani ya miaka mitatu nataka nusu ya mtaji wangu, na asilimia 25% ya kampuni yako.

Niambie Millioni ishirini utawekeza wapi?

niambie kwanza ww ukbak nazo utafanyia
 
50% Nawekeza as fixed income assets, 50% iliyobaki nafungua biashara ambayo iko kwenye market trend, yenye return siyo chini ya 25%
 
niambie kwanza ww ukbak nazo utafanyia

Mkuu mimi biashara yangu ndio hii, kutafuta wajasiliamali ambao wana idea kubwa lakini hawana capital ya kutosha, mimi naingia mtaani kusaka capital, na inject capital then tushare profit. Ikifika muda fulani natoa 100% ya capital yangu, then nawekeza kwingine. Hii ni investment kwa start up nyingi ambazo ni idea in process na unajua fika Bank hawa fund start up.
 
Mkuu mimi biashara yangu ndio hii, kutafuta wajasiliamali ambao wana idea kubwa lakini hawana capital ya kutosha, mimi naingia mtaani kusaka capital, na inject capital then tushare profit. Ikifika muda fulani natoa 100% ya capital yangu, then nawekeza kwingine. Hii ni investment kwa start up nyingi ambazo ni idea in process na unajua fika Bank hawa fund start up.

kumbe ulikuwa siriazi unataka kutoa 20m?
Sasa na sisi inabidi tuwe siriazi sasa!
 
Wajasilimali ndio kina nani?

Kuandika vizuri kunakushinda utaweza kweli kuwa na millioni ishirini? na kama kweli unazo tuoneshe ulivyozipata na kodi ulizolipa. Ukishindwa basi hizo ni fedha za wizi na unataka kuzihalalisha kwa kutuletea humu tukupe maarifa.

Kama kweli ni hivyo, kaziwekeze CHADEMA huko ndio kunakufaa!

Labda apeleke CUF badala ya CHADEMA
 
Nafikiri nitanunua hisa million moja kujaribisha idara hiyo inafanyaje kazi,kama itakuwa na faida nitaongeza millioni moja kufanya iwe 2,si unajua business yoyote ni mambo ya ku-take risk the bigger the risk the higher the return. Kuna makampuni makubwa siku hizi tena ya kimataifa yanauza hisa zao! sina uzoefu na mambo ya hisa na uuzaji wake ila something deep inside tells me it's worthwile. kisha kiasi ningejaribu kwenye transport(vibajaji 2).ningependa ninunue na boda boda 2 kama hela ingetosha ila million 10 ingefungua kaukumbi kadogo ka starehe(kama bar hivi) lakini ya kiwango! siku hizi watu wanapenda kupumzika baada ya kazi, jioni au weekend hivyo ningejaribu maeneo hayo!!
hii ni kwa maeneo ya mjini! kijijini ningenunua shamba!!
 
nitaoa mme wa tatu, nitanunua vitanda 6x6, nitawanunulia wake zangu tv set kila mmoja pamoja redio za maana, nitawanunulia mabaibui, kanga, cheni na pete za ukweli, nitanunua kanzu za ukweli pamoja na suti, nitalipia kahawa pale kijiweni ya mwezi mzima..kama kutakua na cheji nitamfungulia genge bi. mkubwa...
thetheteht! jamani JF kuna utamuuu!!
 
Back
Top Bottom