FBY 2013
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 401
- 90
Chadema kimehusishwa mara kadhaa katika matukio ya kinyama ya kiuwaji mf kumwagia watu tindikali.kulisha watu sumu na kutishia watu kwa bastola. Kwanini hamtupi watanzaniamajibu ya kutosha?
Mmefanya nn tangu kimeanzishwa zaidi ya maandamano na kuapa kuwa nchi haitatawalika na kuhamasisha vurugu?
Hivi kuna Mahakama yoyote iliyowahi kuthibitisha haya unayosema? leta kwanza ushahidi wa kimahakama,au ashahidi ulionao wewe, ndo itakua rahisi kujibiwa! vinginevyo ni maneno matupu unayosema na sidhani kama yana msingi wowote!