Nikijibiwa hili nahamia Chadema

Nikijibiwa hili nahamia Chadema

Kwani wewe haujaona zawadi aliyopewa Dr. Slaa Marekani hiyo zawadi wamepewa watu wawili tu Dr. Slaa na Obama, teh teh teh!

Amini umaskini wako unakarbia,, labda uwende ughaibuni after 2015 Dhaifu(Kiwete) hatokuwa na chakukusaidia
 
Chadema kimehusishwa mara kadhaa katika matukio ya kinyama ya kiuwaji mf kumwagia watu tindikali.kulisha watu sumu na kutishia watu kwa bastola. Kwanini hamtupi watanzaniamajibu ya kutosha?
Mmefanya nn tangu kimeanzishwa zaidi ya maandamano na kuapa kuwa nchi haitatawalika na kuhamasisha vurugu?
aise wale jamaa walofanya utafiti wa mbumbu......... kumuunga mkono DR FASTJET .....Uko poa sana, cheki nae huyu ......nyau tumbiri kabisaaaaaaaaaaa..kha!. fox upo ahahahaha
 
Sasa matusi ya nn tena unamaanisha na wewe uliechangia ni ---- kama uzi wenyewe khaaa
Hili jukwaa tungekuwa tunajadili masuala ambayo ni logic tungeweka mchango mkubwa zaidi kwa maendeleo ya nchi yetu, ccm mnaboa..na mnavijitopic vya kifala sana, your senses defeat you unreasonably
 
Mbina mengine hu edit mods au ndio house of cdm waseme lolote kutukana ccm
 
Hii thread imewazalilisha wana ccm wote....Imewaacha uchi kabisa kuwa uwezo wao wa kifikiri umeisha..
 
Chadema kimehusishwa mara kadhaa katika matukio ya kinyama ya kiuwaji mf kumwagia watu tindikali.kulisha watu sumu na kutishia watu kwa bastola. Kwanini hamtupi watanzaniamajibu ya kutosha?
Mmefanya nn tangu kimeanzishwa zaidi ya maandamano na kuapa kuwa nchi haitatawalika na kuhamasisha vurugu?

upumbafu walo umekufanya usione umhimu wa upinzan uliobora wa chadema bungeni

madudu mangapi yameibuliwa? ulikuwa unajua kama kuna hela uswisi? je Richmond yaliibuliwa na nan? hoja ya katiba mpya kaileta mama yako?? baki huko huko cdm hatuhitaj wajinga type yako
 
Hao ndiyo wapiga kura.

Kwa hiyo unakubali kuwa CCM inachaguliwa na wajinga, na kwanamna hiyo ndo maana hata kiongozi wao hajui kwanini Tanzania ni maskini?
Hivi kwanini Mungu sisi tu? Hata Rwanda inatushinda.
Kuna umuhimu watz kufanya maombi ya kuiombea nchi yetu, lol!
 
Chadema kimehusishwa mara kadhaa katika matukio ya kinyama ya kiuwaji mf kumwagia watu tindikali.kulisha watu sumu na kutishia watu kwa bastola. Kwanini hamtupi watanzaniamajibu ya kutosha?
Mmefanya nn tangu kimeanzishwa zaidi ya maandamano na kuapa kuwa nchi haitatawalika na kuhamasisha vurugu?

Nimeamini kuishabikia CCM ni lazima uwe na akili za Maiti, Hivi tufanye wewe ni mwalimu halafu ndio umetengeneza swali kama hili ili lijibiwe sijui kama utaeleweka zaidi wanafunzi watakutafutia majina kibao wengine watakuita ZOBA, zumbukuku, KILAZA, NGONGOTI nk.
 
Kwani wewe haujaona zawadi aliyopewa Dr. Slaa Marekani hiyo zawadi wamepewa watu wawili tu Dr. Slaa na Obama, teh teh teh!

Hii kitu hata misukule hawataki kuijibu.
 
Kama watu wangekuwa wanajibu maswali kama yalivyoulizwa, JF ingekuwa ni home of GT.
Hivi inashindikana nini kujibu hoja kistaarabu,na kuzingatia hali ya kuvumiliana na kuheshimiana (hata kama hatufahamiani)?
Kujibu hoja kwa hoja ingekuwa namna nzuri ya kufanya vyama vyetu viyatangaze yale mazuri kwa wasiokifahamu
Mi ninawasiwasi na wanaochangia hoja kwa matusi kuwa wana infiriority complex,na hawafahamu kujibu hoja.
 
Chadema kimehusishwa mara kadhaa katika matukio ya kinyama ya kiuwaji mf kumwagia watu tindikali.kulisha watu sumu na kutishia watu kwa bastola. Kwanini hamtupi watanzaniamajibu ya kutosha?
Mmefanya nn tangu kimeanzishwa zaidi ya maandamano na kuapa kuwa nchi haitatawalika na kuhamasisha vurugu?

Toa mfano wenye ushahidi kwa kashfa ulizotoa hapo juu dhidi ya CHADEMA.
 
Nafikiri uelewa wako ni mdogo sana! Hata ulichokiandika hakina mashiko isipokuwa unachotaka kufanya niili ionekane na ww umokwenye mtandao!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Chadema kimehusishwa mara kadhaa katika matukio ya kinyama ya kiuwaji mf kumwagia watu tindikali.kulisha watu sumu na kutishia watu kwa bastola. Kwanini hamtupi watanzaniamajibu ya kutosha?
Mmefanya nn tangu kimeanzishwa zaidi ya maandamano na kuapa kuwa nchi haitatawalika na kuhamasisha vurugu?
Kama ni kweli uliyosema hebu niambie ni nani kafungwa kwa hivyo ulivyo sema,sasa ndo ujue hayo yote yanapikwa tu na ndo maana mwisho wa yote kunakua hakuna kitu chochote kinachoendelea
 
hata usipohamia chadema hatuta pungukiwa, hatutaki watu wa majungu
 
Back
Top Bottom