Nikijibiwa hili nahamia Chadema

Nikijibiwa hili nahamia Chadema

Asilimia nyingi ya wa Tanzania wanayo CHADEMA katika katika nyoyo zao. Wanaodhaniwa na ww kuwa ni CCM damu wanasubiri wakati. verification: wengi wtz ni walala hoi, CCM kwa muda sasa kimewatelekeza. Kumebakia kuifuta nyundo na jembe kutoka kwenye bendera. Wake ni matajiri hasa wa kihindi.
 
Chadema kimehusishwa mara kadhaa katika matukio ya kinyama ya kiuwaji mf kumwagia watu tindikali.kulisha watu sumu na kutishia watu kwa bastola. Kwanini hamtupi watanzaniamajibu ya kutosha?
Mmefanya nn tangu kimeanzishwa zaidi ya maandamano na kuapa kuwa nchi haitatawalika na kuhamasisha vurugu?

nonsense
 
Kwa hyo rage ni mwanachadema?ujinga mwingine nadhan hata waalimu wafundishe vip hauwezi kutoka.
 
Ritz bado upo, umeumbuka wacha michomeko ya kijinga, Umeelewa???
 
Last edited by a moderator:
majibu ya maswali yako yanatakiwa kutolewa na polisi.
Labda kama unataka kuhamia Jeshi la polisi
 
Watu kama huyu mtoa mada ndio wanaipa CCM sifa mbaya kwa wananchi.
Chama tawala halafu hamna cha kuongea.
Mnashindwa hata kuongelea barabara, afya, madini, nk mnabaki na fitina tu !
.... inakera sana
 
CCM wekeni mikakati yenu yote,tumieni hata uchawi lakini mjue mwisho wenu 2015
 
Kama hizo tuhuma zako ni za kweli juu ya CDM basi nadhani CCM iliyoko madarakani itakua ya kulaumiwa zaidi kwa kuyaangalia haya bila kuchukua hatua zozote. Hii counter attack ya kudesa uzi wa PISTO LERO nayo kiboko...
Haya, turudi kwenye mada sasa.
 
Napenda kuongeza ,

Hili suala la Lema kubaka chizi huku UK mbona hatujasikia TAMKO?

Wakinijibu haya mimi nitakuwa wa kwanza kurudi KADIMA
Sasa nimechoka na Ushabiki wako usio na maana,,,. Hivi ulishawah weka wazi kwa nini uliacha kazi ya askari polisi?
 
Chadema kimehusishwa mara kadhaa katika matukio ya kinyama ya kiuwaji mf kumwagia watu tindikali.kulisha watu sumu na kutishia watu kwa bastola. Kwanini hamtupi watanzaniamajibu ya kutosha?
Mmefanya nn tangu kimeanzishwa zaidi ya maandamano na kuapa kuwa nchi haitatawalika na kuhamasisha vurugu?

Vip kuhusu kifo cha Mwangosi, utekaji watu eg. Kibanda, umwagaji tindikali Wahusika mbona hawapatkani? AU ndio ule msemo serikali legelege huua wanaharakati? polisi kuua kwa kukusudia,, mnawachakuli hatua gan?
 
Back
Top Bottom