Nikijibiwa hili nahamia Chadema

Nikijibiwa hili nahamia Chadema

Napenda kuongeza ,

Hili suala la Lema kubaka chizi huku UK mbona hatujasikia TAMKO?

Wakinijibu haya mimi nitakuwa wa kwanza kurudi KADIMA

chadema sio ukoo wa panya wewe nenda kwa mapanya wenzako maccm#kwanza rudisha pesa za rambirambi#
 
Njoo moshi tukuoneshe cdm imefanya nini haya ndo madhara ya kupenda usingizi
 
hii simple ni kama tu bro ditopile alivyofanya,na dk harisson mwakyembe alichonyeshwa na jinsi ganda mwigulo anavyolipua,"cdm is the finest political party"
 
Mkuu siyo swala la kuiga...Ni kwamba Nappe amewakurupua Lumumba team na kuwaambia kesho hakutakuwapo na mgao wa buku saba....Ile thread ya PISTO wamekosa majibu na Lumumba wote walikuwa wamejificha..
Majibu umepewa ya kutosha ila hujitambui
 
sasa pumba kama hizi nani atajibu ? Nimekubaliana na ule utafiti kwamba mbumbumbu wengi wanaiunga mkono ccm .

Mkuu Lumumba hakukaliki kabisa...Nappe amecharuka baada ya kuona vijana wamelala usingizi huku pesa anazotoa zikifijwa vibaya...Ile Thread ya Pisto lee Ndo imewakurupua mpaka wanaandika vitu visivyo eleweka,,,,,
 
Chadema kimehusishwa mara kadhaa katika matukio ya kinyama ya kiuwaji mf kumwagia watu tindikali.kulisha watu sumu na kutishia watu kwa bastola. Kwanini hamtupi watanzaniamajibu ya kutosha?
Mmefanya nn tangu kimeanzishwa zaidi ya maandamano na kuapa kuwa nchi haitatawalika na kuhamasisha vurugu?

Tatizo la CCM ni kuwafanya watanzania wote wajinga. Ni nani asiyekifahamu chama chenye sera za utekaji nyara, umwagiaji tindikali, ung'oaji kucha, ugaidi wa mabomu, uchochezi wa kidini na uchafu wote kama ni CCM?
Kama si ÇCM tutajie watu waliokwishafikishwa mahakamani na kuhukumiwa na serikali hii "sikivu" ya CCM?
CCM ndiyo kinara wa maovu yote yaliyowekwa na mleta mada hii.
 
Chadema kimehusishwa mara kadhaa katika matukio ya kinyama ya kiuwaji mf kumwagia watu tindikali.kulisha watu sumu na kutishia watu kwa bastola. Kwanini hamtupi watanzaniamajibu ya kutosha?
Mmefanya nn tangu kimeanzishwa zaidi ya maandamano na kuapa kuwa nchi haitatawalika na kuhamasisha vurugu?

Umevurugwa
 
Kwani wewe haujaona zawadi aliyopewa Dr. Slaa Marekani hiyo zawadi wamepewa watu wawili tu Dr. Slaa na Obama, teh teh teh!
Masikini ya Mungu kumbe upo kwenye ile asilimia 77% ya mambumbumbu iliyotajwa kwenye ule utafiti...
 
Chadema kimehusishwa mara kadhaa katika matukio ya kinyama ya kiuwaji mf kumwagia watu tindikali.kulisha watu sumu na kutishia watu kwa bastola. Kwanini hamtupi watanzaniamajibu ya kutosha?
Mmefanya nn tangu kimeanzishwa zaidi ya maandamano na kuapa kuwa nchi haitatawalika na kuhamasisha vurugu?

Kubwa zaidi CHADEMA imefanya ni 1. kuwafanya Watanzania WAJITAMBUE, 2, CDM imeifanya ccm ichanganyikiwa kabisa na sasa haiwezi kutekeleza sera zake na sasa nikupambana na CDM kwa njia HARAMU tena kwa mbinu za kijinga na za kitoto. 3. ccm imeshindwa kufanya siasa na kuwakabidhi polisi na Usalama wa Taifa wafanye kazi za ccm za kupambana na CDM. 4. CDM sasa inamiliki UMMA na ccm imebaki na dola si chama cha siasa tena na ndio maana hakina hata miiko ya uongozi na ccm kila mtu sasa ni msemaji chama,
 
Chadema kimehusishwa mara kadhaa katika matukio ya kinyama ya kiuwaji mf kumwagia watu tindikali.kulisha watu sumu na kutishia watu kwa bastola. Kwanini hamtupi watanzaniamajibu ya kutosha?
Mmefanya nn tangu kimeanzishwa zaidi ya maandamano na kuapa kuwa nchi haitatawalika na kuhamasisha vurugu?

We mburula kweli! Kwani chadema ni polisi? Inaonekana swali la PITRO limewashika pabaya mmeamua kuigiza. Poor maccm. cant u be creative! kuiga tu ya upinzani.
 
Chadema kimehusishwa mara kadhaa katika matukio ya kinyama ya kiuwaji mf kumwagia watu tindikali.kulisha watu sumu na kutishia watu kwa bastola. Kwanini hamtupi watanzaniamajibu ya kutosha?
Mmefanya nn tangu kimeanzishwa zaidi ya maandamano na kuapa kuwa nchi haitatawalika na kuhamasisha vurugu?

Kama hizo tuhuma zako ni za kweli juu ya CDM basi nadhani CCM iliyoko madarakani itakua ya kulaumiwa zaidi kwa kuyaangalia haya bila kuchukua hatua zozote. Hii counter attack ya kudesa uzi wa PISTO LERO nayo kiboko...
 
Last edited by a moderator:
Eti huyu alibakwa, na tena picha kaweka kwenye Blog yake mwenyewe. Kweli Flora Lyimo ni Mtaji wa Lukosi.

Hebu oneni kituko, sanamu la Michelen hapati kitu hapa kwa Obora. Hivi kwa nini anajiita POLICE Blog? Kwa ajili yako Mtani Lukosi?

FLORA-LYIMO-HOW-TO-LOOK-SEXY-AT-HOME-29.9.2013-234.jpg

http://missfbknitwearlyimo.blogspot.com/2013/09/byflora-lyimo-cup-of-kilimanjaro-black.html

Napenda kuongeza ,

Hili suala la Lema kubaka chizi huku UK mbona hatujasikia TAMKO?

Wakinijibu haya mimi nitakuwa wa kwanza kurudi KADIMA
 
Ama kweli ccm ni laana yaani 'majanga',
 
Back
Top Bottom