Pocahontas
Member
- Jan 30, 2019
- 46
- 49
- Thread starter
- #61
Shukran kwa mawazo yako ila nikujulishe tu tangazo langu linajieleza wazi kabisa kua walengwa hapa ni WATU WENYE FAMILIA au hata kama upo single basi unatarajia kupata wageni flan basi unaniita nakupikia au shughuli flani unaniita nakupikia, lakini kama chakula ni cha mtu mmoja hata mimi nashauri uende tu mgahawani sababu siwezi kupika kwa bei ya mgahawa.kupika chakula cha mtu mmoja ni gharama zaidi ya kwenda kula kwa mgahawa/restaurant, kuanzia maandalizi , mahitaji , kuosha vyombo , aaarrrggghhhh shit. hii project yako sioni ikiendela labda u switch to someone else wife . good luck though
Sent using Jamii Forums mobile app
lakini nikwambie pia mimi ni Mke na ni Mama pia na hii project labda ni mpya kwa jamii forum lakini kwa sehemu nyingi za jiji la Dar sio mpya na watu wanafurahia huduma kwa miaka mitano sasa tangu nianze.







