Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Haha umekosa pa kutokeaHa ha ha ha ha ha ha ha sikuwez sio kwa kukataa huko?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha umekosa pa kutokeaHa ha ha ha ha ha ha ha sikuwez sio kwa kukataa huko?
Shosti yangu yupi tena?
afu huyo shost'ako ana deni na mimi ujue!
mwambie bado nangojea!
Haha acha kiswahili kirefu wewe, kwamba mpishi anatakiwa aone hadi facial expression ukiwa unakula?Hapana sio kwel fast track response haitakiw kuwa kwenye simu hilo la kula nn kesho yes can be excused via phone
Yes thats business customer facial satsification itamfanya a improve more n more.... But why hutak awepo kipind nakula?Haha acha kiswahili kirefu wewe, kwamba mpishi anatakiwa aone hadi facial expression ukiwa unakula?
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu sana.
Namba ya simu ipo, piga kuanzia saa 1 asubuhi mpaka saa 12 jioni.Dada ungejaribu kuweka na gharama ya baadhi ya service ili wengine tujipime kama tunakumudu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyama Choma yes lakini Kichuri hapana sijui.Unajua kutengeneza kichuri + nyama choma?
Hapana, mimi situmi chakula bali unaniita nakuja kukupikia kwako.mkoani unatuma
Hapana sie mie, Mariam nadhan ame specialized kwenye birian tu.
Karibu sana Chumchang namba ya simu hiyo hapo.Safi sana kwa ujasilia mali huo..
Uwa napenda nikiwa Tanzania na team work yangu nitakutafuta uwe unatupikia.
Ahsante sana Mparee.Hongera sana dada...Upo creative
All the best!!!
Piga simu mteja, tutajuzana.
Vibichi pia unatengenezewa,Huduma ni ya chakula cha kupikwa tu au hata kibichi?
wewe utakuwa una mgahawa 😀😀😀😀kupika chakula cha mtu mmoja ni gharama zaidi ya kwenda kula kwa mgahawa/restaurant, kuanzia maandalizi , mahitaji , kuosha vyombo , aaarrrggghhhh shit. hii project yako sioni ikiendela labda u switch to someone else wife . good luck though
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapendwa habari zenu,
Napika chakula majumbani,
Kama unawageni na unatamani ungewapikia vyakula tofauti tofauti lakini huwezi au muda mdogo wewe niite nikupikie,
Kama una tamani familia yako ingepata lunch au dinner ya aina fulani wewe niite nikupikie.
Napika vyakula vya aina zote kwa bei nafuu sana.
Napatikana Dar es salaam Tanzania.
Mawasiliano 0745438007.
Karibuni.
UPDATE; Ndugu wateja ahsanten sana kwa muitikio wenu nyote mlionipigia simu na zaidi mlioweza kuniita na kuwapikia.
Niwakumbushe tu kwa wale waliolalamika gharama kubwa kwa mtu mmoja aliyetaka kupikiwa, ipo hivi, tangazo limekua wazi kabisa kua wahusika hapa ni familia au event yoyote ungetaka mpishi basi unanipigia nakuja, na kama wewe mtu mmoja ukitaka kupikiwa ugali samaki haitanifanya nikupikie kwa elfu 2 ni wazi nitakutoza walau nusu gharama ya huduma niifanyayo.
Unaweza kua mmoja lakini ukataka kupikiwa vyakula vingi ukaweka kwenye friji na kutumia kidogo kidogo hiyo itakua sawa.
Nawakumbusha msome tangazo na kulielewa.