Upiversity
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 3,487
- 2,634
sema nini,Utapikiwa usijali.
ile picha Whatsapp inakata stimu kishenzi!ππππ
sema nini,Utapikiwa usijali.
AhahahahahahahJe nikikuhitaji wewe binafsi unipikie siku nzima kwa wiki 2 inawezekana? Kwa maana unawepo kwangu kwa wiki 2
Hahaha kwani ana multitask si umeakia yeye anaiongelea story ya kupika,hahah sawa muulize basi pia boxer anaosha na how much ?na pia ku daycare mtoi ni howmuchKuosha vyombo sh ngapi?
banterNimuulize boxer ipi mkuu? yeye haoshi pikipiki. Anaosha vyombo vya kupikiaHahaha kwani ana multitask si umeakia yeye anaiongelea story ya kupika,hahah sawa muulize basi pia boxer anaosha na how much ?na pia ku daycare mtoi ni howmuch![]()
banter
Sent using Jamii Forums mobile app
By boxer nime mean chupi if am not wrong,ilikuwa tu joke,but kusema ukweli amewaambia ana deal na kupika tu,sasa mbina awapikie na awaoshee vyombo,her work ni kupika n thats what she gets paid forNimuulize boxer ipi mkuu? yeye haoshi pikipiki. Anaosha vyombo vya kupikia
I know it wa a joke! sasa anapika bila kuosha vyombo!? mimi nataka anioshee vyombo as part of the service.By boxer nime mean chupi if am not wrong,ilikuwa tu joke,but kusema ukweli amewaambia ana deal na kupika tu,sasa mbina awapikie na awaoshee vyombo,her work ni kupika n thats what she gets paid for
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanx dia.hongera kwa kufukuzia fursa mamii..
Umuhimu wa kuweka picha ya vyakula ulivyowahi kupika bado upo pale pale, hata kama naona vijana wamesharuka ukuta na kuingia upande wa pili.Thanx dia.
sasa unaibuka lini ghetto tucheze karata,mpishi tushapata!hongera kwa kufukuzia fursa mamii..
sasa unaibuka lini ghetto tucheze karata,mpishi tushapata!
vyombo ntaosha mie!
Tamka neno 1 tu na roho yangu itapona!ππππππhalafu weweβ¦.πππ
Tamka neno 1 tu na roho yangu itapona!ππππππ
NAKUPENDA!!! πππ
Umenifanya nilie zaidi ya bwana Pilipiliπ’π’π’π’π’π’π’πππNAKUPENDA!!! πππ
Ugali wa mtama wa watu wa 5 na samaki kamongo yule bei gani unachaji. Basics tu, vitu mahitaji nanunua mimi au wewe ?Wapendwa habari zenu,
Napika chakula majumbani,
Kama unawageni na unatamani ungewapikia vyakula tofauti tofauti lakini huwezi au muda mdogo wewe niite nikupikie,
Kama una tamani familia yako ingepata lunch au dinner ya aina fulani wewe niite nikupikie.
Napika vyakula vya aina zote kwa bei nafuu sana.
Napatikana Dar es salaam Tanzania.
Mawasiliano 0745438007.
Karibuni.
Umenifanya nilie zaidi ya bwana Pilipiliπ’π’π’π’π’π’π’πππ
nami nakuahidi hatua-do mpaka tukishaoana sababu,
NAKUPENDA ZAIDI!ππππππππ