Niite Nikupikie

Niite Nikupikie

wow! Asante kwa kunipenda...promise to love you forever!

ila usilie bwana,na mimi unanifanya niwe na huzuni….😉😉,

Ni kweli hatuta -do ???kweli wewe ni mwanaume wa pekee umenifanya nijione na bahati sana leo..thanks.
nimelia kwa furaha ya kutoamini,mana wanga walisema sina hadhi ya kuwa nawe eti!

Na hatuta-do kaaabisa,

na kesho tuwahi misa ya kwanza tumwambie Baba Paroko awe shahidi!
 
nimependa tu hapo ulipouliza ni kweli hatuta_do???? Punguza uwoga bibie umealikwa ukacheze karata tu
 
nimelia kwa furaha ya kutoamini,mana wanga walisema sina hadhi ya kuwa nawe eti!

Na hatuta-do kaaabisa,

na kesho tuwahi misa ya kwanza tumwambie Baba Paroko awe shahidi!

Acha ya wanga,tusiwape nafasi, ndoa yetu tuifunike kwa damu yesu!..

yamempendeza Maulana mpaka kufanya tukutane..kwa hio jiamini mie ni wako!😉😉😉😉😉

Nimefurahi sana leo,hujui tu...lol
 
Acha ya wanga,tusiwape nafasi, ndoa yetu tuifunike kwa damu yesu!..

yamempendeza Maulana mpaka kufanya tukutane..kwa hio jiamini mie ni wako!😉😉😉😉😉

Nimefurahi sana leo,hujui tu...lol
Haleluyah Becky wangu wa kufa na kuzikana!

Na,ze furaha izi resiprokali myucho kipenzi!😘😘😘😘
 
Tatizo moja umetutenga huku Arusha.

Vipi nikigharamia nauli yako ya kuja na kurudi utakubali kuja kunipikia walau week 1?
Ingekua kuja kupika kwenye sherehe hapo sawa ila kwa mtu mmoja nikae 1 week hapana.
 
kupika chakula cha mtu mmoja ni gharama zaidi ya kwenda kula kwa mgahawa/restaurant, kuanzia maandalizi , mahitaji , kuosha vyombo , aaarrrggghhhh shit. hii project yako sioni ikiendela labda u switch to someone else wife . good luck though

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom