Niijuavyo Freemasonry

Niijuavyo Freemasonry

utamwelewa vipi bila kumjua au kumsikia

Asante kwa kunisaidia ndugu,hiyo ni sawa na kusema niielezee India bila kupitia vitabu au historia na ninayoyasikia kuhusu hiyo nchi wakati hata kufika sijawahi.
 
Asante kwa kunisaidia ndugu,hiyo ni sawa na kusema niielezee India bila kupitia vitabu au historia na ninayoyasikia kuhusu hiyo nchi wakati hata kufika sijawahi.

huyo kuwa atheist bado atakuwa chizi at da spot si tupo
 
Why do you hate science ?.You claim to know God right ?.Ok tell me where did God came from?.Or simply who created him/it?.

You dont even think of how many evils done by the so called religion in this world !.Religion creates problems rather than solving them!.

Then tell me y do the bible allows slavery and encouraged it.And then we THE PEOPLE, as developed we stopped(abolished ) it.Tell me if we dd it wrong in front of your God.

Then tell me,why dd the Bible allowed torturing,killing of innocent(women,children,elders,).What should i learn from your God who adviced it.

How can i be sure that,the same God claims to be Lovely,humble, can do such evils.
 
Free ideas,

Mkuu, heshima kwako.

Ndio kwanza naanza kuisoma hii bandiko, kiasi flani nipo nyuma. Ila naendelea kusoma.

Mkuu, shetani hakuumbwa shetani, aliitwa shetani baada ya uasi huko mbinguni. Kwa uelewa wangu na mafundisho nilopata shetani pamoja na wafuasi wote wa uasi walifukuzwa mbinguni.

Shetani baada ya kumrubuni mwanadamu alilaaniwa, kama walivyolaaniwa wanadamu, hii ikiwa ni sehemu ya adhabu kwa kosa walofanya.

Sasa from there, ndipo zikaibuka falme mbili, ya ibilisi na wafuasi wake, na Mungu na wanaomwabudu. Kumbuka kuwa kipimo cha uovu ni zile amri za mwenyezi Mungu, ukizifuata unakuwa upande wake, ukizipuuza unakuwa upande wapili.

Mwanadamu akapewa uhuru wa kuchagua njia, akafundishwa hatma ya njia zote, hivyo kwa Muovu anajua hatmaa yake nn, na kwa mwema hali kadhalika.

Mwenyezi Mungu anapingana na shetani kwa sababu ndio chanzo cha Uovu wote ulimwenguni.

Hapo kabla dunia ndio mahala tulipewa wanadamu tuishi milele na milele, lakini baada ya shetani kuwarubuni wanadamu, wanadamu wakajisahau na kuanza kumkashifu mungu kama ufanyavyo wewe, ndio tukawa wakupita, kwa maana makazi yetu mapya, Yesu kristo akaenda kuyaanda, ili alipo yy nasi tupate kuwapo.

Bado mm ni mwanafunzi, bado naendelea kuisoma biblia, sio kwa nia ya kubishana, bali kupata elimu hii adimu.

Kama kuna mahala nimekosea mkuu, hebu nikosoe.

Ntarejea
 
Noel 2014,

Karibu kijana,kimsngi umesema mambo yale yale ambayo wenzako wansema kila siku humu na mm huwa nawapinga 100%.

Ukisema shetan aliasi kwa mungu bado unatengeneza swali,kwa sababu according to nyie sifa moja wapo ya mungu ni kwamba anajua yaliyopita,yajayo,na yaliyopo.Sasa iweje aumbe malaika ambaye alijua kabisa kwamba ataasi na mwisho wake atakuwa shetani?.Kwa mabeno mengine hata adhabu walopewa ama hadithi ya akina adam na hawa haina haina mashiko na ni stori ya kutunga kama ilivo Biblia nzima.

Umesema kwamba mwenyezi mungu anapingana na shwtan kwa kuwa ndo chanzo cha maovu yote duniani.Nikuulize?.Je nani mwenye mamlaka juu ya mwenzie?.Siye mungu huyu anaejua kila kitu na mwenye uwezo mkuu??.anashindwa nn kumwangamiza shetan mara moja c tukaishi kwa amani.Tatuzo liko wapi?.
Kwa nn apingane na kiumbe chake?,na je shetan Anatenda mambo yake kwa uwezo gani na uhai wa shetan unatoka wapi?
 
Free ideas,

Mkuu,

Swali la Mwenyezi Mungu kufahamu yajayo na yalopita ni kweli, kuna wakati najiuliza ikiwa anajua nitakufa mwenye dhambi kwann hata anichome?

Ni ni maswali ambayo nahitaji zaidi kuisoma biblia, tatizo biblia ina machapisho na tafsiri nyingi, hizi ndio zinazidi kutuchanganya.

Sasa ni jaribu kujibu maswali yako,

Inawezekana, mambo haya tumefunuliwa baada ya Uasi, ikumbukwe kabla ya Uasi Adam hakujua nn uasi, nn mema maana fumbo hilo lilikuwa kwa Muumba alone,

Tunaambiwa shetani aliasi kitambo, na aliachwa ili mwanadamu ajaribiwe, aitetee imani yake, na mwishowe amwamini mwenyezi mungu mpaka umauti umfike.

Unakumbuka hadithi ya Lazaro?

Na kama atendavyo shetani, ni sawa na sisi wanadamu, uhuru tulionao una muda, hata yy anajua mwisho wake, anachofanya ni kukusanya waovu wenzake, ili atakapo angamizwa, aanguke na wengi.

Mkuu, hatuwezi kumjadili mwenyezi mungu kwa akili za kawaida, mambo mengi yako beyond our thinking capacity, naamin si busara sana kusema hakuna Mungu, na ni Mapema sana pia kusema hivyo.

Tizama mambo mengi ambayo dini imekataza, tukisema hakuna Mungu maana yake tuna halalisha mambo ya Uzinzi, Ufiraji, Kulala na wake za watu, na mambo kama hayo,

Nikuulize ww Free idea Man, unahalalisha ama unaona ni sahihi kutamn mke wa mwenzako? Kufira ama kufirana?( neno wafiraji hata kwenye biblia lipo mods wasije nipiga ban.)

Kuna mambo mengi, tukiiaminisha jamii hakuna Mungu, tutatengeneza disaster la ajabu.
 
Free ideas,

Mkuu,

How can you prove existance of God out of Faith? Ikiwa tunamuabudu katika roho na kweli, huwezi mtofautisha, unless utumie sifa tofauti(Mungu ni sifa).

Dini imeanzishwa na wanadamu, sio Mungu.( kwa imani yangu). Hakuna uhusiano wowote wa Mungu na Dini.

Kuhusu kuchonga mawe, hayo ni matakwa ya wanadamu, vile wameamua kutumia uhuru wao vibaya.
 
Noel 2014,
Noel 2014 Unafaham maana halisi ya Uhuru?.What kind of freedom do we have from your. God,thats not a freedom,.Hakuna uhuru wa namna hiyo.Utapewaje uhuru harafu uje uadhibiwe?.Unaadhibiwa kwa sababu ipi nawakati alitupa uhuru.

Hukumu ya siku ya mwisho ina maana gani kama tulipewa uhuru wa kuchagua mabaya na mema?.Hapa maana ya uhuru iko wapi?.Huweze mpatu uhuru kisha ukamwagiza afuate mafundisho na maagizo yako na asipo fuata unamchoma moto,what a stupid teaching!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu,



Nikuulize ww Free idea Man, unahalalisha ama unaona ni sahihi kutamn mke wa mwenzako? Kufira ama kufirana?( neno wafiraji hata kwenye biblia lipo mods wasije nipiga ban.)

Kuna mambo mengi, tukiiaminisha jamii hakuna Mungu, tutatengeneza disaster la ajabu.
Jamii kama jamii kutokana na uelewa na kujitambua na akili na utashi wa Binadam,mambo kama hayo ulotaja huwa ni makosa.Na hatuhitaji Biblia wala koran kujua hilo.

Kila jamii ina misingi yake na utaratibu wa kuishi na miiko pia.Hata Amri kumi zisingekuwepo yale mambo yangepingwa na jamii nyingi tu kwa maana mi nikioa mke wangu nawe ukaja kummendea ni sahihi kwamba n kosa.Kwa hiyo hatukuhitaji nabii wala mtume kuja kutuambia hayo bali utashi wetu ulitosha kabisa.

Maneno yako ya mwisho kwamba kuna mambo tukiiaminisha jamii kwamba hakuna munguh yatatokea (maovu),ni ushahidi kwamba dini ipo ili kuogofya watu.Lakini amini nakuambia ipo siku ukwel utajulikana na UONGO NA ULAGHAI WA KIZAMANI ULIOPITWA NA WAKATI UTAISHA.
 
Noel 2014 Unafaham maana halisi ya Uhuru?.What kind of freedom do we have from your. God,thats not a freedom,.Hakuna uhuru wa namna hiyo.Utapewaje uhuru harafu uje uadhibiwe?.Unaadhibiwa kwa sababu ipi nawakati alitupa uhuru.

Hukumu ya siku ya mwisho ina maana gani kama tulipewa uhuru wa kuchagua mabaya na mema?.Hapa maana ya uhuru iko wapi?.Huweze mpatu uhuru kisha ukamwagiza afuate mafundisho na maagizo yako na asipo fuata unamchoma moto,what a stupid teaching!

Mkuu,

Tanzania ni nchi huru? Mbona kuna sheria? Mbona tunaambiwa tufate sheria bila shuruti? Does it mean sio huru?
 
Last edited by a moderator:
Free ideas,

Mkuu,


Binadamu tumekujaje kwenye hii dunia? B4 tulikuwa wapi? Evolution ya Ubongo, Ulimi, macho, Mdomo, mfumo wa upuaji, mbona kuna maawali mengi sayansi haina majibu? Na ndio inayoongoza kaminisha watu hakuna Mungu?

Elimu ya Mungu tulonayo ni mapokeo, ndio maana inakuwa na maswali magumu yasiyojibika.

Kabla hujasema hayupo. Tuletee prove ya evolution ya Ubongo, macho, Ulimi to start with few.

Ukishindwa basi usiseme hayupo, tafuta neno tafauti na hilo, maana ukisema hayupo is as una proof 100%.
 
Mkuu,

Tanzania ni nchi huru? Mbona kuna sheria? Mbona tunaambiwa tufate sheria bila shuruti? Does it mean sio huru?

Hivi ni vitu viwil toauti,uhuru wetu tz ni uhuru tuliopewa na serikal amabyo inaundwa na watu dhaifu kama sisi.Mkosaji hufungwa lakini baadae huachiwa huru,ama wakati mwingine hafungwi bali hupewa onyo ama hulipa faini.Ndo mana nikasema uhuru wetu tz ni uhuru utolewao na watu dhaifu kwa watu dhaifu maana cc ni viumbe dhaifu kama vitabu vyenu visemavyo.

Uhuru wa kufuata mabaya na mema utolewao na mungu hauna maana kma kuna hukumu tena ya moto kwa aliyeenda kinyume.
 
Noel 2014,

Soma hapa chini mkuu,ni moja ya majibu yangu kwa maswali kaa hayo ulouliza usipoelewa uliza wapi nifafanue...,

Hi!,wanajamvi. Swali hilo juu huwa ni moja ya maswali magumu ambayo wengi huwa wanabaki njia panda,hasa linapokuja swala la kufafanua,,IWEJE TUPATE KITU PASIPO KITU?(sina uhakika kama ni tafsiri sahihi),yaan how can we get something from nothing?,

Watu wengi hasa wenzetu WANAOAMINI katika dini na MUNGU/MIUNGU huwa hawatuelewi kabisa kuhusu hili.
Nitajaribu leo kufafanua kwa kina(kadri nijuavyo mimi) kwa faida ya wengi,kuhusu,KUAPATA KITU PASIPO KITU.(sina uhakika kama ni tafsiri sahihi). Karibuni....

Katika nyanja ya Evolution,ina maanisha ni jinsi gani unaweza kupata Immense complexity and diversity and beuty and elegance of life,na zaidi ya hapo,inaonesha ni jinsi gani unaweza kupata Powerful Illusion of design ambayo uhai unaonesha,ambayo ninaweza sema sio kutoka katika HAKUNA(nothing),(not quiet from nothing)ila kutoka katika Extreme Simplicity.

Kabla ya Darwin kufanya utafiti uliopelekea kila kitu kuwa wazi,ilikuwa ni vigumu sana kuamini/kueleza jinsi gani unapata/kuna Vitu kama Ubongo,macho,miguu,mabawa ya ndege,n.k.Ilikuwa n ngumu sana kujua vipi unaweza kupata vitu vilivyo vizur machoni na vyenye mpangilio maalumu vinavoonekana kama vimepangwa(designed).

Darwin alitoa confidence na kuonesha kuwa kinachoonekana ni ugumu wa ufahamu wa kupata kitu pasipo kitu,alisove na waliofuata pia walikuw wakiendeleza kazi yake tangu kipindi kile.

@@@@But what is NOTHING,and how can we have something from Nothing...

Ni kwel kabisa,kwamba The Universal came from nothing due to what we know about the Universal up to this time,here is the proof of my above Arguments.

""Nothing is UNSTABLE,that empty space is UNSTABLE,Laws of mechanics combined with GRAVITY will tell you that,if you have Empty space there and you wait for the long enough,particles will be CREATED,and if you wait more enough,empty space will allways produce a UNIVERSAL full og MATTERS,
So NOTHING is unstable (sijui kama naeleweka hapa).

The case here is NOTHING (Empty space),creating something (Universal /Earth).
But ist the empty space nnothing(wengi mtasema no ),Lakini ngoja nikuoneshe pia kwamba EMPTY SPACE nayo inaweza ikawa product ya nothing,na hapo nadhan hakuta kuwa na swali tena.

Hapa nakuja katika laws za kifizikia,ama NATURAL FUNDAMENTAL LAWZ,
Ambzo zinaelezea kiundani jinsi ambavo kanuni na misingi ya kuwepo hewa tupu,space na mazingira ya utokeaji wa kila kitu kinachohitajika kufanyika kwa kitu husika(sina haja ya kuchima sna ntapoteza maana ya uzi,waweza uliza katika mjadala na nitajibu.),@@@@


Nothing niimanishayo katika upande wa Evolution sio,Completely nothing,lakini ni kutoka katika resonable complicated beginning ambayo ilikuwa ni first self replication molecule(maana completely nothing imesha tengenza UNIVERSAL na sasa ni evolution .).

Lakini tukumbuke kwamba Natural selection haiwezi kwenda kama hakuna genetics.,na hilo ndo tatizo ambalo halijasoviwa.Namaanisha hadi sasa hakuna anayejua Genetics zilivoanza.Lakini tunajua kwamba Kanuni za chemistry lazima zianzishe self replicating molecules,Kisha EVOLUTION inatake place.

Na kuanzia hapo sasa,aina zote za diversity na viumbe kama mimi na wewe ndo tukawa into existence,lakini haya yote lazima yaanze na GENETICS,hapo mapungufu ya chemistry yanaonekana,lakini kabla hatujailaumu chemistry kwa kukosa ufumbuzi wa genetics inabidi tuanze na physics !

Uhai katika dunia ulianza miaka 3.5bilion ilopita,katika kipindi cha Cambrian explosion.
Katika mika 4.5bilioni ilopita, ambayo ni kadirio la umri wa dunia, hakukua na bacteria.So katika miaka 3.5bilion ilopita uhai ukaanza taratibu katika dunia kutokana na Nitrogen ,Helium Hydrogen pamoja na hewa nyingine ndogo ambazo zilitokea katika spaces/sky baada ya Explosion.

Baadhi ya watu husema,We don't understand the origin of life on Earth ,so GO,D must done it!(kamba hatuelewi mwanzo wa uhai katika Dunia,kwa hiyo lazima mungu ndo alihusika).SI KWEL,.....


Ninachojua mimi,mapungufu yaliyopo katika Sayansi hayamuumbi Mungu,wala hayasababishi Awepo .,Sayansi inakuwa kila kukicha.Kama ni hivo basi atakuwa ni MUNGU wa mapungufu,(GOD OF GAPS),ambaye anaonekana tu katika few remaining Gaps in our understandings.Nikukumbushe pia kabla ya Darwin na wengine,uhai na uwepo wetu,Miili na jinsi ifanyavyo kaz ,ilikuwa inaonekana kama miracles.Hakuna aliyeweza kusema nini ni nn na kila kitu ilikuw akaz ya mungu.
Amini nakuambia hata mwaka 300AD,watu walikuwa wakiamini vitu kama Tsunami,Floods,Volcanic eruptions,Earthquake n.k ilikuwa kaz ya MUNGU,kama adhabu.Lakini leo vinaelezeka na kutabiriwa na mamlaka za hali ya Hewa na onyo linatolewa . Nachotaka kusema hapa ni kamba sayansi ,,inakuwa,, na itafumbua kila kitu.
,Kwangu mimi huwa naona kama n dalili za udhaifu ninaposikia kauli mfano,,""I DONT UNDERSTAND IT,THEREFORE GOD DID IT"" this is the kind of lazy argument.It doesn't help anything,but it leaves opens, since it doesn't explain even where God came from.

Kitu kikubwa alichofanya Darwin ni kuonesha ama kujuza ni jinsi gani unaweza kupata God like things/complex things (like humani Brain) kutoka katika omni nothing.

Ngoja niongelee kidogo CONCEPT YA EVOLUTION,maana najua ntaulizwa mbona manyani hayabadiliki siku hiz..

Watu wengi wanadhani kwamba EVOLUTION,inaonglea/inahusu manyani/masokwe kumzaa ama kugeuka binadam,!,ni hiv,Miaka kama milioni 25,ilopita Human being(watu) walikuwa""Common Ancestor "",NA MONKEYS ,CHIMPANZEE ,GORILLAZ n.k.Hili ndo jambo gumu watu kuelewa,Kwa kiswahili ni kwamba ,HATUKUWA MANYANI WALA MASOKWE BALI TULISHARE BAADHI YA TABIA ,VITU,UMBO,MWONEKANO n.k.,huwa napata shida sana kuelezea jambo hili.So 25,yearz ago our ancestors might have look like monkey,gorillaz,or chimpanzees.Narudia,tena neno MIGHT HAVE LOOK LIKE,NOT THEY WERE MONKEYS !,hata hivo uchunguz unaonesha tuko na ufanano wa karibu zaidi na CHIMPANZEE kuliko chimpanzee walivo na ufanano na gorillaz ama monkeys.

Je,evolution inaendelea?,hili swali ningelipata bila shaka,jibu ni NDIO,...

Inaendelea lakini its too slow for us to see,kumbuka tunaishi kwa miongo michache na pia evolution its too slow to be noted easy .We can see it in Bacteria only too visibly ,because thats y,ant-biological resistance is such a big problem and more immensely important medical problem.Take this ,if the doctors at the time of invention of penicillin which Darwin wishes about them,they would been able to predict that resistance to ant-biotic.refers the book known as,, THE SCIENCE OF DARWINIAN,, MEDICINE .another vivid example of the continuation of Evolution is just look ok history,try to observe the physical appearance of the people live in 14c,15c or even 7century,you may not a lot of differences comparing to us.

Presence of INTELLIGENT DESIGNER ?,

This logic is too low and poor!,
I an prove that there is NO Intelligent designer
1,There is no EVIDENCES ON THAT ARGUMENT
2.BY HIS RESPONSIBILITY.

This person God of tje JUDAISM ,CHRISTIANS,ISLAMS has nothing to do with the God who cares about us.Na katika uwanja wa Sayansi ,tukisema kama mapungufu yaliyopo yahusiane na mungu,hatuta muhusisha mungu nafsi!,,The same God created lawz of physics ?. Na kama katika Sayansi kukihitajika kuwa na Mungu,basi atakuwa DIASTIC GOD,And he is very very different from the Gods of religion ,na huyu ndiye aina ya kitu tunatumia muda kumuelezea.

Intelligence inakuja baada ya muda mwingi baada ya EVOLUTION,starting from nothing as we know and then chemistry takes over,Biology,.

Kwa hiyo katika dunia kunaweza kuwa na Gods like humani being.Nakubali kwamba kunaweza kuwa na life forms than us,ambao tukikutana tutabidi tuwapigie magoti LAKINI WATABAKI KUWA ZAO LA MUENDELEZO(the product of the process ),of evolution devlpmt.they will not be GOD,S In the sense that having created the laws of physics,or tje universal or life!.

Let me end up here,karibun...
 
Hivi ni vitu viwil toauti,uhuru wetu tz ni uhuru tuliopewa na serikal amabyo inaundwa na watu dhaifu kama sisi.Mkosaji hufungwa lakini baadae huachiwa huru,ama wakati mwingine hafungwi bali hupewa onyo ama hulipa faini.Ndo mana nikasema uhuru wetu tz ni uhuru utolewao na watu dhaifu kwa watu dhaifu maana cc ni viumbe dhaifu kama vitabu vyenu visemavyo.

Uhuru wa kufuata mabaya na mema utolewao na mungu hauna maana kma kuna hukumu tena ya moto kwa aliyeenda kinyume.

Sasa mkuu, unasema uhuru tumepewa sisi wadhaifu? Kwa mujibu wa vitabu vyetu? Sasa huviamini yet unavutumia kama reference katika majibu yako? Huoni unakosea mkuu?

Nimeuliza tz ni huru sio huru? Je wa tz tupo huru ama la? Usiweke siasa mkuu ktk hili.

Uhuru upo, lakini bila sheria unakosa maana ndio maana Mwenyezi mungu katupa uhuru lakini kaweka sheria maana bila sheria uhuru unageuka Fujo.

Tanzania ni Free country, lakini sheria za nchi lazima zifuatwe.... Na ukizingua kuna adhabu zake, tafauti ya sheria za Mungu na za nchi ni kuwa, kwa mwenyezi Mungu kuna msamahaa, huku lazima uadhibiwe.
 
Free ideas, p

Mkuu,

Nishalisoma hili jibu lako, but its a notion, its a theory, haina proof. Siwezi amini wala kutumia jibu lako kujiaminisha hakuna Mungu.

Mungu Yupo.
 
Mkuu,

Nishalisoma hili jibu lako, but its a notion, its a theory, haina proof. Siwezi amini wala kutumia jibu lako kujiaminisha hakuna Mungu.

Mungu Yupo.

Kusema tu mungu yupo haitoshi ndugu,weka uthibitisho ili hata mm nisemaye hakuna mungu nitambue uwepo wake.

Tomaso aliyeishi na yesu miaka mitatu huku akifanya miujiza na kusema atakufa na kufufuka ,hakuamini kwamba yesu kafufuka mpaka alipoona. Ushahidi.Itakuwa mm ?.tena miaka 2000,imepita?. There is no God out of Faith
 
Free ideas,

Hadi unanipa uvivu kukujibu...anyway ngoja nijibu hvo hvo..we hate science?nan kasema?science yenyewe inajikoroga ts not kwamba wanaoamini mungu wanaikana..mfano:evolution theories about kubadilika kwa viumbe(lamarckisim kidogo)wanasema kuna theory of use and disuse..sasa hua wanatolea mfano twiga kua alikua anakula majani ya chini yakaisha akaanza ya juu thats why shingo ikawa ndefu(refer organic evolution form 4)

alafu tena kwenye genetics wanasema mtoto anarithi maumbile kutokana na genes na si kua baba akipiga chuma akajaa basi na mtoto atakua kajaa(lakin kama mwili wa asili wa baba ni mkubwa hutokana na genes so uwezekano huo upo wa kuzaliwa mtoto na mwili unaofanana na wa baba) hapo nadhani umeona jinsi ilivyojikoroga...science 2nakataa baadhi ya mafundisho yanayokua tofauti na imani zetu...na baadhi ya vitu vilishaelezwa kwenye maandiko miaka zaidi ya 1000 nyuma na vinatokea leo je huoni kama ni sababu ya wewe kuamini??

walijuaje hao waliotabiri kua kipindi hichi cha mwisho wanawake watavaa mavazi yasio chochote(yasiyo na staha) tazama jinsi wanawake wanavyovaa zama hizi mavazi yenye kuwaonesha tupu zao na leo hii wanavaa...walijuaje??walijuaje kua utakuja utawala tunaouona leo unaanza wa namba 666???utapinga kuhusu hili kwa sababu umeshasema freemason wana malengo mazuri na dunia...malengo mazuri na dunia ndio huko kuwaua wanaowasaliti??

maandiko yalijua vipi kuhusu jicho moja??hapo nilikua naelezea kidogo kuhusu sayansi...where did God come from...kuhusu hili ni kua alikuepo kabla ya vyote,hakuumbwa na chochote na yeye ndiye muanzilishi wa vyote...je wewe unaweza nielezea vyumbe hai walitoka wapi??utasema ni kutokana na muungano wa elements zilizokuepo zikaunda DNA na viumbe wa mwanzo ni bacteria na viruses ndio wakatoa wanaofuata wote...mbona bacteria na viruses wa leo hawabadiliki na kua viumbe wapya?mbona tuna bacteria na viruses kwenye miili yetu lakin hawabadiliki kua samaki au kiumbe kingine???haya hapo ni kuhusu mwanzo wa viumbe hai...

je kuhusu mwanzo wa universe??ulitoka wapi??katika QUR AN(natumia hii sababu ndio niiaminiyo) 2naelezwa kua mwanzo wa ulimwengu ALLAH aliamuru kutokea kwa kitu kama mvuke ambao mwanzo ulikua umekaa kwa pamoja ndio vingine vilitokana na mvuke/moshi huo(kwa hili hata science imeeleza the same kua mwanzo wa dunia na vinginevyo ni gases zilizokua pamoja kutokana na reaction yake na joto kali likazalishwa jua na vinginevyo vilitokea humo) QUR AN haipingani na hvyo lakin imeeleza kua kuumbwa huko ni kutokana na amri ya yeye mwenyezi mungu...kama si mungu basi vilitoka wapi hvyo vitu(gases zilizozalisha jua) na QUR AN imetamka karne ya saba lakin saysi imeeleza karne ya 15 na kuendelea...je walijuaje hao walioandika kama si mungu??

nimemaliza kuhusu sayansi na mwanzo wa ulimwengu na viumbe lakin kuna maswali humo ndani yajibu...sas nahamia upande wa utumwa...Unasema nyie mlikomesha utumwa nyie kina nani???kwan waliokomesha utumwa ni freemason ??au na wewe ulikuepo wakati wa kukomesha utumwa???katika zama za muhammad kulikua na watumwa na ulipoingia uislam Saudi Arabia waislamu walianza kutoa mali zao kuwaokoa watumwa waliokua wakitumikishwa na matajiri wa huko(mfano mtu aliekua akitoa adhal ni mtu mweusi alokole i kutoka utumwani) hvyo umeona ni jinsi gani swala hili lilivyo pingwa na imani yangu mimi.....naomba maelezo juu ya maswali yangu hapo juu tuendelee
 
tafauti ya sheria za Mungu na za nchi ni kuwa, kwa mwenyezi Mungu kuna msamahaa, huku lazima uadhibiwe.

Unajuaje kwamba kwa mungu kuna msamaha,ama unatumaini umesamehewa?.Nipe ushahidi kwamba kwa mungu kuna msamaha?
 
Niko kwenye gar subil kama dakika 20,ntakuwa home ntakujibu
 
Back
Top Bottom