Nihurumieni mwenzenu nakufa

Kwa staili hii huyo dada haitaji kujiua akiona hii comment anakufa mwenyewe kimya kimya.
 
Mbona kasema hapo ID Ni mpya jamani
 
Kudaiwa sio kudhalilishwa usiogope deni....tafuta wakili akusaidie huna kosa hapo...
 
anawaza kujiua
 
Kwa hiyo unataka kufa?

Jiulize tangu dunia ianzishwe wangapi wamekufa?

Kwenda jera na kufa kipi bora?
 
Hao wa kila mtu milioni nilimaanisha wanikopeshe nitawalipa kidogo kidogo au wanipe masharti yoyote nitafanya[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Mimi nataka uwe mke wangu alafu nakupa 1m , uko tayari, hebu njoo DM nikuone kwanza,
 
Umesema ulizitumia ukijua ni zako kwani kuna hela uliokuwa unategemea ingizwe kwenye Account ,Vipi hawajaingiza? Na pia kama ni kutoa serekalini au taasisi huoni una point ya msingi ktk utetezi Mahakamani wakikupeleka?
 
Kila mstari nliousoma umenitoa machozi kwa kicheko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji4][emoji23]u make my day.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…