Pole sana,najua madeni yanavyotesa,namshukuru Mungu ule mkopo wangu unakaribia kuisha ila cha moto nimekiona sirudii tena...
dadeiNimeweka story ya hili deniKama ulipata milioni 25 ukashindwa kufanya kazi ya maana uweze kuendelea sasa hivi ukikopeshwa hizo hela na watu ndio utaweza kufanya kitu cha maana ulipe?!
Halaf hakuna sheria ya kukufunga kwa kosa la kudaiwa na bank tena hela yenyewe hawakukopesha
Asante mkuu ni kweli NEEMA ya Mungu ni kubwa mno naamini atanitoa katika hili janga kama alivyowatoa waisrael Misripole sana tena sana, ila mkuu kusema ukweli ka hautudanganyi benk kama benk kuingiza hela kimakosa kwenye akaunt ya mtu mpaka unazitumia zote hawajashtuka hio benk hawako makini na hauna haja ya kuangaika nao,
kingine hapa jf watu wana hamasika kumsaidia mtu aliekwama eidha afya au kimaisha na msaada wake ukihita laki 5 kushuka chini, huyu akitoa elfu 10 huyu 50 mwingine laki zaidi ya hapo kwa kweli sidhani kama hapa jf wanaweza kuhamasika kwa hilo la kwako kwa kweli. labda sana ingekua ni matibabu na hapo bado hela ni nyingi mno.
lakini uziogope maana Neema ya Mungu ni kubwa mnoo USIOGOPE.
Hata Mimi nilikuwa nafikiria kumpa huu ushauri.Fanya hivi, hiyo 6,500/- asubuhi nunua bundle la buku (data). Kisha 5,500/- tupia kwenye tigo pesa/m-pesa.
Download app ya 1xbet www.1xbet.com kisha fungua account humo kwa kufuata maelekezo. Kisha upload/deposit hiyo 5,000/-
Ukimaliza close app, fungua app ya Jamii Forums kisha ingia kwenye huu uzi
![]()
![]()
![]()
Wazee Wenzangu Wa Kuweka Mzigo (Kubet) - Karibuni Tubashiri Mechi Za Leo! - JamiiForums
Hapo utakutana na wataalamu wa mambo ya kuzalisha pesa kwa kucheza na intuition na lucky. Ukiwa na bahati mpaka jioni unaweza ukawa umepata pakuanzia.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
It will definitely pass and I shall testify the goodness of God but napata shida these are the worse days of my lifemdada mkiwa this too will pass mkuu.
Changamkia 1M Kwa mkuu Mentor hapo juu.
Hatujawahi kupewa tatizo zaidi ya tusiloweza kutatua.
Kila la kheri mkuu.
I appreciate a lot sometimes even words heal a broken heartmdada mkiwa have u ever heard of dark night of the soul?
This is it, you have to heal the hurt and survive the experience..
Unfortunately i got only comforting words.. so bear it with me!
Imetokea kwangu mkuuWataalamu hivi ni kweli bank wanaweza kukuwekea pesa kimakosa??? Milion 25, , itakuwa ni bank ya vipofu
Sasa kumbe mbona bank ndio yenye makosa na wewe ndio inabidi uwashtaki kwanini waingize kwenye account yako kikubwa zaidi iyo muamala ulieingia kufanana na pesa uliyokuwa ukiisubiri yani makosa yao then ulalamike wewe fuata sheria bana wewe ndio mwenye sheria hapo.Nilikua nachukua top up bank fulani pesa zikaingia kama ule mkopo wa mwanzo almost 12m. Nikakumbuka mkataba niliosaini kabla ya hizo pesa kuingia ulikua unasoma the same amount ambayo iliingia kwenye akaunti yangu. So nikajiridhisha that was my top up loan. Nikawa nadraw kidogo kidogo kama kawaida tu bila shida. After a month the bank called me and asked why I took the money I was not supposed to. By that time I had already put the money into a business ya kukopeshana. Watu wamenidhulumu hela nikajikuta sina nilichokifanya zaidi ya kupoteza hela. Today is almost four months toka wanitafute hiyo bank na huwa nadepost at least kila mwezi laki tatu kutoka kwa wateja baadhi kuwa waaminifu. Sasa wateja waaminifu wamemaliza madeni yao na mimi sina pa kupata hela zaidi ya mshahra wangu wa laki2 sina mali yoyote wala biashara tena benk wananizalilisha kila sehemu nashindwa hata kutoka nje..watu wananicheka kila wakiniona natamani tu Mungu anichukue hata SAA hii..nadhalilika mno nisaidieni jaman