mdada mkiwa
Member
- Oct 9, 2018
- 44
- 63
- Thread starter
- #41
Sina utapeli jamani nihurumieni mwenzenu wananidhalilisha sana hii bank sina msaadaSwali: Kama hizo 25 ml.ziliingia kimakosa nawewe ukadhani ndo zile ulizokuwa ukizitazamia, je, zile ulizozitazamia mbona hautuletei mrejesho wake?
Ziko wapi, ulitarajia zitoke wapi ?
Jibu kwanza haya maswali ili wengine tuanze kuchambua. Tatizo mjini kila mtu tapeli, pesa kuitoa sasa mpaka ujiridhishe.

