Nihurumieni mwenzenu nakufa

Nihurumieni mwenzenu nakufa

Mmhh Mbona kama nakujua" huo mwandiko wako sio mgeni machoni mwangu...

Wahitaji watu 25 na kila mmoja akukopeshe ml 1 .. my dear hakuna atakaye kusaidia humu sana sana utaishia kukopwa kikojoleo tu
 
Hiyo million 1 ntakupa, ila uwe tayari kunipa tigo
 
Ujitoe uhai kwa kosa gani hasa? hii ni kesi ya madai, hukuwa mwaminifu katika hilo hivyo waache waende mahakamani huko mwisho wa siku mtaelewana jinsi ya kulipa kidogo kidogo kulingana na kipato chako, pia ukifanikiwa kupata misaada unalipa. kazi unafanya sekta binafsi au Serikalini? je ni Bank gani? Kuna Bank zinazonunua mikopo kwa utaratibu maalum
 
nenda kwa mzee kipara wa magogoni atakusaidia ana moyo sana na watanzania maskini wa fikra kama wewe
 
Ujitoe uhai kwa kosa gani hasa? hii ni kesi ya madai, hukuwa mwaminifu katika hilo hivyo waache waende mahakamani huko mwisho wa siku mtaelewana jinsi ya kulipa kidogo kidogo kulingana na kipato chako, pia ukifanikiwa kupata misaada unalipa. kazi unafanya sekta binafsi au Serikalini? je ni Bank gani? Kuna Bank zinazonunua mikopo kwa utaratibu maalum
Niko govt
 
Tumia hiyo 6500 kama nauli, potelea mahenge-malinyi huko ndani ndani karibu na serous game reserve, ila unapoondoka tupa kisimu chako ukifika huko anza maisha ya kilimo, tafuta pesa. pia benki italifuta deni(it will be bad debt) baada ya muda tuu.
Mwisho nakushauri tuu, huna kipaji cha utapeli so achana na hizi mambo jaribu kuimba, huu ni msimu wa bongo star search!
 
Kwasababu ulikua na mipango ya uhakika ya kupokea 25M na haikuingia kwa wakati basi ikishaingia kawalipe jamaa.
Kingine kama hamna mkataba kwa kukopeshana basi wewe kimbilia mikoani kaanze maisha upya, acha kutumia namba za simu na simu zote ziache mjini.
Umenena!, hajatoa story ya 25m aliyokuwa anaitarajia, ilikwama? Alichukua hatua gani? Vinginevyo ni hadithi.
 
eeh.ww unazan nirahisi m2 kutoa ela maana mtahani maisha magumu na ckhiz matapeli wengi cwz kumwamini mwanadamu kirhisi hivyo,,,
 
eeh.ww unazan nirahisi m2 kutoa ela maana mtahani maisha magumu na ckhiz matapeli wengi cwz kumwamini mwanadamu kirhisi hivyo,,,
 
Habari zenu wanajf wenzangu nina shida jamani eee Mungu wangu nisaidie niweze kueleweka nahitaji watu wenye moyo wa kujitoa wanisaidie jamani nipo karibu na mauti mimi.

Wapendwa nadaiwa pesa nyingi sana na bank na sijui wapi nitaweka sura yangu maana watu hawa wamechachamaa kweli mfukoni nina elfu 6500 tu jamani mimi nitaenda wapi natamani nijitoe uhai ila nawaza huko niendako itakuwaje nikikutana na moto wa jehanamu milele?

Wanajf nyie ndio tegemeo langu la mwisho naombeni mnisaidie deni linatakiwa kulipwa kabla mwezi kuisha la sivyo mimi nitahukumiwa jamani ohhh

Sina pa kukimbilia yeyote anayeweza kunisaidia kwa masharti yoyote nipo tayari ili mradi mimi niachane na hili deni jamani niishi kwa amani. Nahitaji watu 25 wakujitolea kila mmoja milioni moja nipate milioni 25 nilipe hii bank niishi kama watu wengine. Yeyote atakayenipa nitakua namlipa taratibu au anipe kazi yoyote nimfanyie bure na nitaifanya kwa akili na uwezo wangu wote.

Nisaidien jamani nawaomba Mungu atawaridishia mlipotoa.

I declare my interest ID hii ni mpya kwa sababu zisizozuilika.

Yeyote atakaeweza kunisaidia nipo tayari kuongozana nae hadi bank ili ahakikishe kweli ninadaiwa.

Story ya deni ilivyo
Pesa hizo ziliingizwa kimakosa kwenye akaunti yangu na bank yenyewe na mimi kwa vile nilikua nategemea pesa nikajua ndio zangu nikafanya nazo biashara na biashara yenyewe watu wamenidhulumu nimebaki sina kitu nifanyeje mimi na biashara ilikua haijasajiliwa sina haki hata ya kuwapeleka mbele ya sheria ninaowadai jamani nitakufa mimi dunia itaniua mimi
Chochote ulichonacho naomba mchango wako jamani nitafanyaje mimi sina hela nipo nipo tu natamani nikitembea gari linipitie nife hapohapo dah
Hiyo hela uliyokua unaitegemea vip kwann ukuitumia hiyo kurejesha,pia benk hawawezi kutumia nguvu kama walifanya hivyo kimakosa bali watakwambia uzirejeshe tu au wanakata ktk acount yako pindi ukifanyiwa muhamala wowote ule,hilo swala lilishawahi kumtokea rafiki yangu kipindi tupo chuo aliingiziwa pesa kimakosa jamaa kwakua alikua na njaa akaenda kuzitoa fasta ilikua m 5 akaanza kutanulia chuon baada ya siku mbili anapigiwa sim anaitwa na hiyo benk
 
Back
Top Bottom