The Magnifico
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 431
- 1,594
Huyu mwenzenu says it all.
Wanawake na mihemko ni damu damu.
We are doomed as a nation!.
Wanawake na mihemko ni damu damu.
We are doomed as a nation!.
huyu dada ajengewe sanamu paleeee Magogoni, nachangia mifuko 100 ya cement.Huyu mwenzenu says it all.
Wanawake na mihemko ni damu damu.
We are doomed as a nation!.
View attachment 3515450
😂ye mwenyewe kaongea kwa mihemko😆😆 baada ya kudinywa vizuri,, anywayyy mi sipo kwenye hilo kundi
Mwanaume gani unashindwa kutumia akili kureason badala yake unatumia mihemko.Tungekuwa sisi wanaume kila tunachofanya kingekuwa sahihi ningeunga mkono hoja. Lakini ukweli nikuwa Wapo wanawake wapumbavu na wanaume wapumbavu vile vile. Ujinga hauchagui jinsia
Tungekuwa sisi wanaume kila tunachofanya kingekuwa sahihi ningeunga mkono hoja. Lakini ukweli nikuwa Wapo wanawake wapumbavu na wanaume wapumbavu vile vile. Ujinga hauchagui jinsia
Oooh my God waliz the fck men😂😂Huyu mwenzenu says it all.
Wanawake na mihemko ni damu damu.
We are doomed as a nation!.
View attachment 3515450
True mkuu secretarybird unasemqje hapoYuko sahihi, kama una ndugu wa kike nadhani hilo umelishuhudia refer issue za mahusiano mwanamke yuko tayari kumfuata mwanaume aliyefahamiana mitandaoni kumfuata mikoani huko au nje ya nchi
Nilitaka kusema hivyo hivyohuyu dada ajengewe sanamu paleeee Magogoni, nachangia mifuko 100 ya cement.
Tuma account namba dada!
Umeandika kwa mihemko!ye mwenyewe kaongea kwa mihemko😆😆 baada ya kudinywa vizuri,, anywayyy mi sipo kwenye hilo kundi
Sio kwamba wanaume hatukosei lakini angalao tunaona uhalisia na tunawajibika. Mwanamke yeye anaenda na emotions tu. Anaweza kutaka kitu halafu hapo hapo akataka kinhine ambacho kimantiki kinapingana na kile alichokitaka mwanzo.Tungekuwa sisi wanaume kila tunachofanya kingekuwa sahihi ningeunga mkono hoja. Lakini ukweli nikuwa Wapo wanawake wapumbavu na wanaume wapumbavu vile vile. Ujinga hauchagui jinsia
Mbona bibie BICHWA KOMWE - na Binti wa zamani wanafanya uamuzi wa busara mkuu.True mkuu secretarybird unasemqje hapo