Nihurumieni mwenzenu nakufa

Nihurumieni mwenzenu nakufa

Ninachohisi kuna mahali tunadanganywa ni kuwa, inakuwaje akopeshwe zaidi ya milioni kumi ilihali anasema mali anazomiliki ni fridge na godoro tu? Aliweka dhamana gani?
pia soma comment yake alotuma ka 35dk then utagundua zaidi anadai anaweza kulipa kwa mwezi watu 200 ambao atawarudishia 5000@ so ka ingekuwa hivyo sidhani hata ka angekuwa analialia hapa kihivyo, nadhani anajitafutia yake hapa na najua atapata, hawezi tudanganya kwa hesabu zake za kitoto hivyo eti kwa mwezi alipe watu 200 ambayo ni sawa na 1million anazipata wapi wakati hanahata kazi hana asset
 
Ninachohisi kuna mahali tunadanganywa ni kuwa, inakuwaje akopeshwe zaidi ya milioni kumi ilihali anasema mali anazomiliki ni fridge na godoro tu? Aliweka dhamana gani?
Dhamana ya kazi
 
Mimi sio tapeli jamani ila kila mtu ana maoni yake na ninayaheshimu hii story ni ndefu sijui nianzie wapi na niishie wapi hiyo milioni 25 haikuingizwa yote iliingizwa 12m na mimi nilikua na deni na hiyo bank so wamepiga mahesabu natakiwa kurudisha 25m mimi naipata wapi mwenzenu sina hata pa kuanzia jamani sina mali zozote zaidi ya fridge na godoro langu uwiii mimi
unafanya kazi? unalipwa mshahara kiasi gani kwa mwezi, Take home namaanisha
 
bandiko lako limejaa porojo sana, ulikuwa umategemea mkwanja flani (ilikuwa kiasi gani) je? uliwasuliliana na aliyetaka kukutumia

lipa kwa kupitia mkwanja ulio kuwa unautegemea kuupata
 
Mimi sio tapeli jamani ila kila mtu ana maoni yake na ninayaheshimu hii story ni ndefu sijui nianzie wapi na niishie wapi hiyo milioni 25 haikuingizwa yote iliingizwa 12m na mimi nilikua na deni na hiyo bank so wamepiga mahesabu natakiwa kurudisha 25m mimi naipata wapi mwenzenu sina hata pa kuanzia jamani sina mali zozote zaidi ya fridge na godoro langu uwiii mimi
unafanya kazi gani na unapokea mshahara kiasi gani Take home nalenga?
 
Hio 6500 igawe mara sita upate buku buku..
Weka MIKEKA 6 ya perfect 12 M BET itabaki jero..
Hio mia tano nunua mihogo miwili ya mia mbili na maji ya mia ya kandoro.
Anza kula mohogo yako na maji saafi ya kandoro ukiwa unasubiri mikeka yako 6 itiki..
Ukipata mkeka hata mmoja kwenye perfect 1 hayo madeni yako yote yameisha..

THANK ME LATER
 
Usife banah...ila nashindwa kuelewa bank waliwezaje kukosea kutuma hiyo pesa ikaingia kwenye account yako then bank siku ya kwanza,ya pili,ya tatu,ya nne wasistuke hela imeenda kwenye account siyo au alietakiwa atumiwe hiyo pesa asije bank kulalamika hela hajaiona maana hizo siku mbili mpaka saba naamini bado ulikua hujatumia mpunga wote 25milioni how can this be possible,
 
Nilikua nachukua top up bank fulani pesa zikaingia kama ule mkopo wa mwanzo almost 12m. Nikakumbuka mkataba niliosaini kabla ya hizo pesa kuingia ulikua unasoma the same amount ambayo iliingia kwenye akaunti yangu. So nikajiridhisha that was my top up loan. Nikawa nadraw kidogo kidogo kama kawaida tu bila shida. After a month the bank called me and asked why I took the money I was not supposed to. By that time I had already put the money into a business ya kukopeshana. Watu wamenidhulumu hela nikajikuta sina nilichokifanya zaidi ya kupoteza hela. Today is almost four months toka wanitafute hiyo bank na huwa nadepost at least kila mwezi laki tatu kutoka kwa wateja baadhi kuwa waaminifu. Sasa wateja waaminifu wamemaliza madeni yao na mimi sina pa kupata hela zaidi ya mshahra wangu wa laki2 sina mali yoyote wala biashara tena benk wananizalilisha kila sehemu nashindwa hata kutoka nje..watu wananicheka kila wakiniona natamani tu Mungu anichukue hata SAA hii..nadhalilika mno nisaidieni jaman
mdada pole ila ni bank gani inakudai ipo wapi, ulikopa hela kwaajili ya nini? unataka upate pesa kutoka kwetu au unataka tukusaidie mawazo ya namna ya kujikwamua katika tatizo hilo? jaribu kupembua maswali yangu machache then urudi kwetu mie nipo tayari kukusaidia endapo tuu nitajiridhisha
 
Uwezo wa kukusaidia hiyo mil tupo wengi humu ila story yako haijanishawishi hivyo

Umetumia hela zisizo zako
Ujiuwe utuachie godoro tu haiwezekani acha utani na kifo
 
Back
Top Bottom