Nihurumieni mwenzenu nakufa

Nihurumieni mwenzenu nakufa

Nimeshauriwa kifuatacho na mdau kuhusu tatizo langu nami nalileta kwenu kuomba ushirikiano wenu wana Jf sina kwingine pa kukimbilia ni Mungu na huku Jf

Mdau amenishauri hivi:
Nipate wana Jf 5000 ambao wanweza kunichangia kila mmoja tsh 5000 ili nipate 25m nimalizane na hii bank.

Kila atakaenichangia nitamuandika then kila mwisho wa mwezi nitakua narudishia watu 200 walionichangia hizo elf 5000 hivyo ndani ya miezi 25 nitakua nimemrudishia kila mwana Jf pesa aliyonisaidia. Wana Jf naomba mnisaidie kwa hili bank wanataka pesa kabla mwezi haujaisha
Mnaweza kutafuta mtu wa kupokea hiyo michango na atakaethibitisha kweli ninadaiwa kwenye hiyo bank coz wengine mnaweza kuhisi mimi ni tapeli ila sivyo. Chochote kitakachopatikana hata leo naenda kupeleka bank ili kupunguza deni. Nisaidieni wapendwa sina pa kuanzia nimefiliska vilivyo
 
F576BDE1-69DB-43ED-A969-0739B5BF8B5E.jpeg
 
Poleee.... ..umeamka ukakutana na hilo Deni njiapanda? Nichange sjui unadaiwa kwa sabab gani....
Anyway poa naweza ila yaweza kuwa nkawa Wa mwisho kunirudishia hyo book tano afu unanirudishia bila hata ka-riba ndani ya miezi 25
Hebu muulze upya aliekupa ushauri ili arudie ushauri unajua haya mambo haya bana
 
Hahhahahha
Poleee, ID/Account umefungua usiku saa tatu, Huu uzi umeuandika usiku huu saa tisa kamili, ngoja tukusubr mpk asubu ukanushe au laaa.... pengne unaota au n haya masimu ya tecno umelilalia limeshafungua ID lenyewe likacopy mavitu kutoka FB au kweny Msg za kawaida likaingia Jf likapest lika post, maana inaonesha umepost tu n kama lijisaa limepita hukurud tena hewan, Au ndo umepata usingz? M mwenyewe sidaiwi wala sina stress zozote lakn nimekosa ka usingz sembuse mtu anaefikiria kufaaa?

Kama n kweli, Pole sanaaa kwan huna assets zozote zinazofka hio 25M Au kukaribia? Mda wa kulipa deni kwa hiari walikupa na umeshapita? umejarb kuongea nao kwa busara ukawaeleza nia yako ya kulipa? huwez huko huko bank ukafanya kaz bure kwa mda utakaofidia hilo deni?
M25 si haba kama huna hata mia na huna mzunguko wa kuipata, ila huwez ilinganisha na uhai wako dada, una uhakika wapo serious wanataka wakufunge?

Mana Hakuna watu wenye mikwara kwenye kudai kama bank, hata wakikukopesha au wakikuomba ukope wanakuletea vijidada vizurii vinawaka waka, sauti nyororo, ngozi chocolate,
Wakija kudai sasaaa.... Unaletewa njemba imefumuka usoo. Nyeusi tiii huku imevaa miwani inafunika mpk matundu ya pua, suruali kama pajama, chini bonge ya buti au raba kama za kangi, ikiingia inakua na mbwembwe mnasalimiana huku anazima switch huku anachomoa cable za tv, fridge n.k

Unasema atakae kusaidia utampa chochote atakachotaka,
My dear sister hicho chochote baadae inaweza iwe mthan zaid ya huu utaman ukakope tena bank hata mara mbili ya hio ulipe kuondokana na chochote,
Binafsi mimi na hvyo sina familia bd, ningetoroka kwanza nikaanze kuzisaka, Kama kuna watakachofanya huko nyuma poa tu, LAWAMA HAPEWI MBUZI, siku nazipata nawaletea kwa suprise uone kama watakusumbua,

Wazee tujifunze kitu hapa, usikubar kutoka kapa
Fanya hivi, hiyo 6,500/- asubuhi nunua bundle la buku (data). Kisha 5,500/- tupia kwenye tigo pesa/m-pesa.

Download app ya 1xbet www.1xbet.com kisha fungua account humo kwa kufuata maelekezo. Kisha upload/deposit hiyo 5,000/-

Ukimaliza close app, fungua app ya Jamii Forums kisha ingia kwenye huu uzi

Wazee Wenzangu Wa Kuweka Mzigo (Kubet) - Karibuni Tubashiri Mechi Za Leo! - JamiiForums

Hapo utakutana na wataalamu wa mambo ya kuzalisha pesa kwa kucheza na intuition na lucky. Ukiwa na bahati mpaka jioni unaweza ukawa umepata pakuanzia.

Unajiua kisa deni?
Watu wanadaiwa pesa nyingi wamekaa kimya tu hata kukimbia hawakimbii.
Watu wa bank kwa kawaida wanadai kwa fujo na vitisho sana ila mwisho wa siku wanafata sheria za nchi.
 
Mwanamke unadaiwa huo ni ujinga wako tu, ungekua mwanaume sawa...tumia akili kama unajiamini ni mzuri
 
Kwa wenye mashaka na swala la kuwekewa pesa kimakosa au kwa makusudi kwa nia ya kufanya fraud jambo hilo lipo sana, ila mdada mkiwa ananishangaza sana kulia na madeni ya bank tena kwa maelezo yake yanahusiana na mkopo?
Watu wanadaiwa pesa nyingi wame default miezi sita sasa.
 
Maisha yana thamani kubwa sana kuliko Pesa,kuliko deni,deni halifungi,aliuwi MTU.Kuzulumiwa kibiashara ni karma kwa sababu ulidhulumu haki ya MTU.Ni nadra sana kufanikiwa kwa kutumia cha MTU asichokiridhia.
 
Ninachohisi kuna mahali tunadanganywa ni kuwa, inakuwaje akopeshwe zaidi ya milioni kumi ilihali anasema mali anazomiliki ni fridge na godoro tu? Aliweka dhamana gani?
 
Ninachohisi kuna mahali tunadanganywa ni kuwa, inakuwaje akopeshwe zaidi ya milioni kumi ilihali anasema mali anazomiliki ni fridge na godoro tu? Aliweka dhamana gani?
Tunakopesha kwa dhamana ya mshahara
 
Nimeshauriwa kifuatacho na mdau kuhusu tatizo langu nami nalileta kwenu kuomba ushirikiano wenu wana Jf sina kwingine pa kukimbilia ni Mungu na huku Jf

Mdau amenishauri hivi:
Nipate wana Jf 5000 ambao wanweza kunichangia kila mmoja tsh 5000 ili nipate 25m nimalizane na hii bank.

Kila atakaenichangia nitamuandika then kila mwisho wa mwezi nitakua narudishia watu 200 walionichangia hizo elf 5000 hivyo ndani ya miezi 25 nitakua nimemrudishia kila mwana Jf pesa aliyonisaidia. Wana Jf naomba mnisaidie kwa hili bank wanataka pesa kabla mwezi haujaisha
Mnaweza kutafuta mtu wa kupokea hiyo michango na atakaethibitisha kweli ninadaiwa kwenye hiyo bank coz wengine mnaweza kuhisi mimi ni tapeli ila sivyo. Chochote kitakachopatikana hata leo naenda kupeleka bank ili kupunguza deni. Nisaidieni wapendwa sina pa kuanzia nimefiliska vilivyo
kwahiyo kwamwezi unauwezo wakupata 1mil?
 
Back
Top Bottom