- Thread starter
- #61
Mwanangu point hii...!Mbeya maisha ni rahisi na biashara hata ukiwa na mtaji mdogo unaweza kujipanga ukarudi ukaishi Arusha huko mbeya ukahama ukiwa na mtaji mkubwa ndio uje arusha.
Wasiwasi wangu mbeya ni juu ya mzunguko wa pesa unaweza ukawa mdogo maisha yakabakia rahis kwenye msosi tuuh..