Nihamie wapi kati ya Arusha na Mbeya?

Nihamie wapi kati ya Arusha na Mbeya?

Tatizo ni pale mgonjwa anapochelewa kumwambia dalili Daktari .. kama unakauzoefu na utalii na kama unataka kuingia kwny maswala ya utalii Arusha ndo nyumbani
Pole dokta! Niliogopa kuwamisslead watu wasije kuwa too judgemental.
 
Mbeya maisha ni rahisi na biashara hata ukiwa na mtaji mdogo unaweza kujipanga ukarudi ukaishi Arusha huko mbeya ukahama ukiwa na mtaji mkubwa ndio uje arusha.
 
Kama unaudhoefu wa utalii njoo Arusha, kuna jumla ya makao makuu ya ofisi za kitalii 724 ambayo ni zaidi ya 96% ya makampuni ya kitalii yote yanayofanya kazi zake hapa nchini.
 
Back
Top Bottom