FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,821
Dah, angalia kibri hicho! Anayejua zaidi ni Mwenyezi Mungu na wewe huwezi kujua kama mtu anajua/hajui kuliko wewe. Mtume alitahadharisha kuwa katika watu wataokwenda motoni kwa wingi ni watu wenye elimu. Unaweza kuwa na elimu ila usidhani wewe ndio unajua kuliko kila mtu. Hata Musa(a.s) alifikiri hivyohivyo hadi alipopelekwa kwa mtu anayejua kumzidi. (Mungu anajua zaidi)
Allah(sw) atuongoze.
Kwa hiyo wewe ni Mwenyeezi Mungu uliyesema mwenye Hijabu hapo ni mmoja tu?