BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
​Wote ni wazuri sana, aliyevaa red na wa nyuma yake mhhhhhhh!
Nuru imetawala.......Na wewe kumbe ni bipolar.
Kiongozi, kuna watu teyari wanaelekea Abuja ......
Kiongozi, hongera, lakini tutakuna huko huko AbujaNuru imetawala.......
Nina Amini familia nzima hiyo itaelekea UMRAH na HAJJ kwenda kumshukuru Mwenyeezi Mungu.... japo kuwa walishaenda mara nyingi, nilishawaona ktk L haram!!
Ishmael ao wanauwezo wao (Nigerans wengi ni maBillionea) nakuwahi kabla hujadai tax za wazawa !!!!!
Shemeji Ishmael...!! Let us hope kwa best Nigeria and better ..... world to live ....Kiongozi, hongera, lakini tutakuna huko huko Abuja
Allahuma AMINYes, it is true, we hope and wish them peace and harmony.
Naona wamemfanana Baba yao zaidi!!Sura zao Kama wa-ethiopia wazuri kweli
Kafanana na mke wa shemeji😉 mashalaaah kweli mwenye nacho huongezewa
Mimi Nigeria ni sawa na home, you know, kwahiyo sio mbaya kutembelea kale kanchi ketu na State yetu ya Anambra.