mkosafedha
JF-Expert Member
- May 19, 2015
- 1,330
- 277
Sorry first lady ndio yupi apoo😛
Wote n watoto wa rais buhari.
Sorry first lady ndio yupi apoo😛
tehteh..Mbona wengine wamevaa 'vilemba' au na vyenyewe siku hizi ni hijab. Sikujua kabla kuwa kazi ya hijab ni kumpendezesha mwanamke wa Kiislamu.
Acha kutupotosha!Wote hao wana hijab, si unaona nguo zao nzuri pana, ndefu na hazioneshi maumbo yao na wameficha nywele zao. Hiyo ni hijab kabisa. Wewe unafikiri majuba pekee ndiyo hijab? hayo ni mapendo ya nafsi tu.
Ma sha Allah.
Hijab ndiyo zimewapendezesha zaidi.
Mkuu lakini yule nae yumo, kumbuka kwa mwaka jana alikuwa ndie binti mrefu kuliko wote duniani
Mama ameumbika Mashalaah
huyo aliyevaa miwani ni pacha wangu kabisa.Allahu akbar
ok. nilidhani lazima ifiche na shingo pia (yani ni uso tu ndiyo uonekane).
Kuna umhimu mkubwa mwanaume kuoa mwanamke mzuri mwenye mvuto, wanaumw wengj hatujiamini, tunaamini kuwa ukioa mwanamke mzuri utaibiwa
Naona wote mnasema aliyevaa nyekundu .. Mi bana wa kwanza kulia mfupi .. Huyuuu
Hawa watoto wazuri wataanza kuchuana urembo na yule binti wa Kagame!
.............mmmh ! labda wewe !
mtoto wa kagame yule ngongoti au? Kweli kiongozi hujuwi wanawake warembo.mabinti wametulia hao kiongozi.