MaashaAllah wote warembo kila mmoja anamshinda mwenzie
Huyo wa kushoto kabisa karibu na alievaa nyekundu
Uwiiiii ni warembo sana aiseeee
Ma sha Allah.
Hijab ndiyo zimewapendezesha zaidi.
Urembo wa mwanamke haujifichi hata avae gunia
Bonge la point farkhina!
Mwenye Nguo Nyeupe na Miwani ya giza.
![]()
Ma sha Allah.
Hijab ndiyo zimewapendezesha zaidi.
Mama ameumbika Mashalaah
Ngoja nijichukulie mwali kwa prezidaa.