Nigeria's new First Lady with her daughters (photo)

Nigeria's new First Lady with her daughters (photo)

...........Sheikh njiwa hujui kuchagua ! wakwanza kushoto na anayemfuata mwenye nyekundu ! :becky:
hahaha sharif, mimi ugonjwa ni wafupi sheikh .. mwanamke anayenizidi urefu hanivutii kuwa mke wangu ....
 
Last edited by a moderator:
hahaha sharif, mimi ugonjwa ni wafupi sheikh .. mwanamke anayenizidi urefu hanivutii kuwa mke wangu ....

..... haaa....haaa ... haa ! Kwani wewe ni Mpare Sheikh wangu !? ...... ni thithi thithi ! :becky:
 
huyu babu kimbao anavotoa mabinti wazuri wazuri,au ana damu ya kitusi nini
 
..... haaa....haaa ... haa ! Kwani wewe ni Mpare Sheikh wangu !? ...... ni thithi thithi ! :becky:
hapana sheikh mama mdigo mombasa baba msegeju wa tanga... mi wa pwani sheikh lakini mke mrefu simuwezi , mfupi yule anayenifikia kifuani naona raha hata kuongozana naye ,.....
 
Waislam hatusilimishi mtu hata kidogo, mwenye kusilimu hujisalimisha yeye mwenyewe kwa Muumba wake - kumbuka hilo.

Sisi kazi yetu kumfikishia ujumbe tu, kuwa si vyema kuabudu sanamu la mzungu aliyevalishwa nepi. Akielewa haya, kama hakuelewa haya.
na kama akikaidi basi tutamchinja ama kumlipua kwa bomu.
 
hapana sheikh mama mdigo mombasa baba msegeju wa tanga... mi wa pwani sheikh lakini mke mrefu simuwezi , mfupi yule anayenifikia kifuani naona raha hata kuongozana naye ,.....

........... mie baba Mdigo mama Mzigua ! ........ na ambaa ambaa na huo ufukwe wa njia ya Mombasa !
Mie warefu na miguu mizuri !
 
Wote hao wana hijab, si unaona nguo zao nzuri pana, ndefu na hazioneshi maumbo yao na wameficha nywele zao. Hiyo ni hijab kabisa. Wewe unafikiri majuba pekee ndiyo hijab? hayo ni mapendo ya nafsi tu.
You are watering it down sio? Haya bana na hijab.com! Kimsingi strictly speaking hapo hijabu ni moja tu.
 
........... mie baba Mdigo mama Mzigua ! ........ na ambaa ambaa na huo ufukwe wa njia ya Mombasa !Mie warefu na miguu mizuri !
hahaha, nmekimbia pwani nimeamua kutulia kisiwani sharif, nikah mwakani rabi akijaali.... lakini wangu ni mzuri kushinda wote hao
 
Saa nyingine naona wamependeza sana hawa watu daaaah
 
You are watering it down sio? Haya bana na hijab.com! Kimsingi strictly speaking hapo hijabu ni moja tu.

Haujuwi maana ya hijab na hauna uwezo wa kuijuwa hijab zaidi yangu, hijab ya kwanza ni moyoni.
 
Mmoja hapo ni shemeji yangu


Jamaa yangu huku Namtumbo ndo mchuchu wake
 
na kama akikaidi basi tutamchinja ama kumlipua kwa bomu.

Ngoja upate Dah'wah kidogo hapa: Capt Tamar

'Je Mwenyezi Mungu si wa kumtosheleza mja wake ? Na ati wanakutishia kwa hao wenginewe (Masanamu) wasio kuwa Yeye ! Na aliyehukumiwa na Mwenyezi Mungu kupotea hana wa kumwongoa.

Qur'an: 39:36.
 
Last edited by a moderator:
Haujuwi maana ya hijab na hauna uwezo wa kuijuwa hijab zaidi yangu, hijab ya kwanza ni moyoni.
Dah, angalia kibri hicho! Anayejua zaidi ni Mwenyezi Mungu na wewe huwezi kujua kama mtu anajua/hajui kuliko wewe. Mtume alitahadharisha kuwa katika watu wataokwenda motoni kwa wingi ni watu wenye elimu. Unaweza kuwa na elimu ila usidhani wewe ndio unajua kuliko kila mtu. Hata Musa(a.s) alifikiri hivyohivyo hadi alipopelekwa kwa mtu anayejua kumzidi. (Mungu anajua zaidi)

Allah(sw) atuongoze.
 
Back
Top Bottom