Nigeria's new First Lady with her daughters (photo)

Nigeria's new First Lady with her daughters (photo)

Nimefurahi kusikia hivyo ingawa FaizaFoxy atakuwa disappointed maana alijua anakusilimisha this time
Amelamba galasa. Mimi nina utamaduni wa kubatiza sana Waislam, hakika ninamwombea dada yetu FaizaFoxy ili nayeye amfahamu Mungu Mkuu, ambaye ni YESU KRISTO.
 
Last edited by a moderator:
CGFvN4bVEAAbfL5.png:large


HUYU ndio Yusuf Mtoto pekee wa Kivulana wa Rais Buhari na amempata kwa Mke wake wa pili Mama Hajiya Aisha Halilu
 
Igweeeeeeeee.....
Ngoja nikawasakanye fb...naweza kubahatisha kamoja....
 
Nimefurahi kusikia hivyo ingawa FaizaFoxy atakuwa disappointed maana alijua anakusilimisha this time

Waislam hatusilimishi mtu hata kidogo, mwenye kusilimu hujisalimisha yeye mwenyewe kwa Muumba wake - kumbuka hilo.

Sisi kazi yetu kumfikishia ujumbe tu, kuwa si vyema kuabudu sanamu la mzungu aliyevalishwa nepi. Akielewa haya, kama hakuelewa haya.
 
Hawa watoto wazuri wataanza kuchuana urembo na yule binti wa Kagame!
 
Bint wa kagame haoni ndani hapo

Mkuu lakini yule nae yumo, kumbuka kwa mwaka jana alikuwa ndie binti mrefu kuliko wote duniani
 

Attachments

  • 1432964426622.jpg
    1432964426622.jpg
    36.4 KB · Views: 430
Wote hao wana hijab, si unaona nguo zao nzuri pana, ndefu na hazioneshi maumbo yao na wameficha nywele zao. Hiyo ni hijab kabisa. Wewe unafikiri majuba pekee ndiyo hijab? hayo ni mapendo ya nafsi tu.
FaizaFoxy mbona ww umevaa hijabu lakn sio mzur?😎
 
Last edited by a moderator:
Wote hao wana hijab, si unaona nguo zao nzuri pana, ndefu na hazioneshi maumbo yao na wameficha nywele zao. Hiyo ni hijab kabisa. Wewe unafikiri majuba pekee ndiyo hijab? hayo ni mapendo ya nafsi tu.
ok. nilidhani lazima ifiche na shingo pia (yani ni uso tu ndiyo uonekane).
 
Ma sha Allah.

Hijab ndiyo zimewapendezesha zaidi.

Mbona wengine wamevaa 'vilemba' au na vyenyewe siku hizi ni hijab. Sikujua kabla kuwa kazi ya hijab ni kumpendezesha mwanamke wa Kiislamu.
 
naona hijab moja tu hapo!

Wote hao wana hijab, si unaona nguo zao nzuri pana, ndefu na hazioneshi maumbo yao na wameficha nywele zao. Hiyo ni hijab kabisa. Wewe unafikiri majuba pekee ndiyo hijab? hayo ni mapendo ya nafsi tu.

ok. nilidhani lazima ifiche na shingo pia (yani ni uso tu ndiyo uonekane).

A Hijab (hee-jab), also spelled &#7717;ij&#257;b (/h&#618;&#712;d&#658;&#593;&#720;b/, /h&#618;&#712;d&#658;æb/, /&#712;h&#618;.d&#658;æb/ or /h&#603;&#712;d&#658;&#593;&#720;b/;[SUP][1][/SUP][SUP][2][/SUP][SUP][3][/SUP][SUP][4][/SUP] Arabic: &#1581;&#1580;&#1575;&#1576;&#8206;, <small>pronounced </small>[&#295;i&#712;d&#658;æ&#720;b] or [&#295;i&#712;&#609;æ&#720;b]), is a veil that covers the head and chest, which is often worn by Muslim women beyond the age of puberty in the presence of adult males outside of their immediate family as a form of modest attire.
635576631117731459-1-012415hijab.jpg
 
Back
Top Bottom