Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,366
- 10,393
Kabisa jamaa anatumia id nyingi bila kificho au pengine anajaribu kuficha ila kutokana na bhangi anazovuta zinampagawisha anajikuta anashindwa hata namna ya kuficha😃😄😁Nadhani alibashiri na mkeka haukuchanika.