Ndiyo. Usiwadharau hao jamaaunawajua ?
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]..... Bado tu unaikumbuka lolheven sent ndo huwa anapenda kusema hajawahi kuwa single katika maisha yake,jipende mwenyewe Miss Natafuta,kama ipo ipo tu
Miss Natafuta una mambo Wewe..Nenda Pm Tayari kajilengesha huyo.naona unarusha mahindi kuingiza kuku kwenye banda
Ninaowapata ni wa kwenye mitandao, wapo mbali hivyo tunaishia tu kuchatchat siku inaisha. Ninaowapata mtaani huwezi wafanyia promotion yoyote maana wanaonekana tu wapigaji.
Upweke nao unatesa, unatamani wikend hivi uwe na mtu wako akufanyie shoping, upike, mle mpige story ila hayupo.
Unajiuliza ulitolewa kwenye ubavu wa mbao nini? Mume wa mtu hana raha yoyote japo ni wawekezaji wa uhakika ni wewe tu at your own risk. Hebu kuweni wakweli ni jinsi gani ya kumpata anaekupenda au haina mjanja?
asante mkuu
That is too artificial bro, too low ..... na ina sound like a changu, kwenda kuwinda watu ktk lounge za hotels...aka kununua magonjwa !! So shocked one can give such advise !!Easy sana,inaonesha we ni mtu wa ndani na hupendi kujichanganya..bas kama ni ivyo unajikosesha bahati duniani apa..wanaume tunachopenda ni kusikilizwa na kuheshimiwa..do this test..andaa your own cash..unaweza kuchukua laptop kama ni msomi au unaweza chukua hata note book yako then nenda sehem ya heshma..inaweza kuwa ni lounge za hotel za wastani ukiwa umependeza na hakikisha unavaa kiheshima..jaribu kupoteza atleast 3 hrs ukiwa unakula na kunywa na kuwa unafkiria mambo yako nk.nakuhakikishia ndani ya mwezi mmoja ukiwa unafanya ivyo kila weekend lazma upate mtu aliye rasmi..be classic enjoy your self company weneva you are,be selective kiasi na jua mambo mengi...all the best.wanaume tunavutiwa sana na wanawake wa ivyo na sana tukiwakuta sehem kama izo..
onyo..IWE MCHANA TAF
Dah !Ninaowapata ni wa kwenye mitandao, wapo mbali hivyo tunaishia tu kuchatchat siku inaisha. Ninaowapata mtaani huwezi wafanyia promotion yoyote maana wanaonekana tu wapigaji.
Upweke nao unatesa, unatamani wikend hivi uwe na mtu wako akufanyie shoping, upike, mle mpige story ila hayupo.
Unajiuliza ulitolewa kwenye ubavu wa mbao nini? Mume wa mtu hana raha yoyote japo ni wawekezaji wa uhakika ni wewe tu at your own risk. Hebu kuweni wakweli ni jinsi gani ya kumpata anaekupenda au haina mjanja?
TuliaNinaowapata ni wa kwenye mitandao, wapo mbali hivyo tunaishia tu kuchatchat siku inaisha. Ninaowapata mtaani huwezi wafanyia promotion yoyote maana wanaonekana tu wapigaji.
Upweke nao unatesa, unatamani wikend hivi uwe na mtu wako akufanyie shoping, upike, mle mpige story ila hayupo.
Unajiuliza ulitolewa kwenye ubavu wa mbao nini? Mume wa mtu hana raha yoyote japo ni wawekezaji wa uhakika ni wewe tu at your own risk. Hebu kuweni wakweli ni jinsi gani ya kumpata anaekupenda au haina mjanja?
Tulia anakuja....tena bila kuumiza kichwa...tulia wangu
na makeke yote but Mungu kamleta bila kuhangaikia....na moyo wangu umetuliaWewe alikuja?