Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,866
- Thread starter
- #21
naona unarusha mahindi kuingiza kuku kwenye bandaOo mi pamoja na mafanikio yote nlo nayo duh sipati mtu
naona unarusha mahindi kuingiza kuku kwenye bandaOo mi pamoja na mafanikio yote nlo nayo duh sipati mtu
kweli hailina mjanja ukienda kichw kichwa siku mbili tu ushaliwa unaachiwa manyoyaMahusiano bwana ni kitu kinachoumiza sana!!
Tulia wako yuko sehemu anakusubiri
Mshirikishe Mungu tu
[emoji121]Ninaowapata ni wa kwenye mitandao, wapo mbali hivyo tunaishia tu kuchatchat siku inaisha. Ninaowapata mtaani huwezi wafanyia promotion yoyote maana wanaonekana tu wapigaji.
Upweke nao unatesa, unatamani wikend hivi uwe na mtu wako akufanyie shoping, upike, mle mpige story ila hayupo.
Unajiuliza ulitolewa kwenye ubavu wa mbao nini? Mume wa mtu hana raha yoyote japo ni wawekezaji wa uhakika ni wewe tu at your own risk. Hebu kuweni wakweli ni jinsi gani ya kumpata anaekupenda au haina mjanja?
wanga kama nyie hamkosekani[emoji121]
HILI TANGAZO LA CONTINENTAL DIKODA LIWEKEWE PICHA KABISA MKUU.
Ndo maana ake!kweli hailina mjanja ukienda kichw kichwa siku mbili tu ushaliwa unaachiwa manyoya
Mungu hakupi unacho taka, bali Mungu huyu hukupa unacho tafuta.Usisahau na maombi Miss ili Mungu akufunulie mtu sahihi ambae unamtaka atakaekuja kuwa mume bora
Keep searching...Ninaowapata ni wa kwenye mitandao, wapo mbali hivyo tunaishia tu kuchatchat siku inaisha. Ninaowapata mtaani huwezi wafanyia promotion yoyote maana wanaonekana tu wapigaji.
Upweke nao unatesa, unatamani wikend hivi uwe na mtu wako akufanyie shoping, upike, mle mpige story ila hayupo.
Unajiuliza ulitolewa kwenye ubavu wa mbao nini? Mume wa mtu hana raha yoyote japo ni wawekezaji wa uhakika ni wewe tu at your own risk. Hebu kuweni wakweli ni jinsi gani ya kumpata anaekupenda au haina mjanja?
ahahaa naishia tu kupiga umbea mitandaoni bna ahahaa Mungu hayupo fair at all!Pole kwa kukosa morning glory,wenzako akina atoto wanaenjoy kweli kweli yaani![emoji1]
ahahaaaKeep searching...
mpo wapi?Vijana watulivu wapo wengi tu mbona.
[emoji121]wanga kama nyie hamkosekani
kuna muoaji humu?[emoji121]
MKUU,
ACHA KUTOA POVU!
SASA MI' NAKUPA USHAURI MURUA,
WE' UNALETA POVU HAPA!
SASA HATUKUOI!
BICHWA HILO!
Hapana siyo hivo mi nataka kuwa na mwenzangu nitulienaona unarusha mahindi kuingiza kuku kwenye banda
hata nikiwakubali wanaume wote wa humu jf wanaokuja pm napata nini ? mara yupo korea mara yupo libya mara tandahimba mi sitaki mahusiano ya hivoWe Si ulishanikataa mimi nipo mtaani kwenu ? Ila wewe hujanijua freshi na hujawahi kuniona Tumekutana humu nikaomba Ukakaa kimya Tafta sasa umdhaniaye,Ila umri unasonga try to be humble
weka post ya kutafuta mtuHapana siyo hivo mi nataka kuwa na mwenzangu nitulie
Unamaanisha nnMungu hakupi unacho taka, bali Mungu huyu hukupa unacho tafuta.
Hahahhhh mzee wa picha[emoji121]
MKUU,
ACHA KUTOA POVU!
SASA MI' NAKUPA USHAURI MURUA,
WE' UNALETA POVU HAPA!
SASA HATUKUOI!
BICHWA HILO!