Nifanyeje niwe na mahusiano rasmi?

Nifanyeje niwe na mahusiano rasmi?

Js pray about it..and keep an open mind.. Inakuwaga u meet someone u don't expect kabisaa,well story ya kila mtu ni unique
 
Usisahau na maombi Miss ili Mungu akufunulie mtu sahihi ambae unamtaka atakaekuja kuwa mume bora
Huyu haendi kanisani wala msikitini..!watarajia nini?ndio anachokipata na kuangaika nacho.
 
Usipoweza kuwa na furaha uwapo single
Hata ukipata mwenzako huwezi kuwa na furaha

Cc singleness by Dr myles Munroe
 
Wakukuoa ni hao unaoish nao mtaan tatzo unataka watu wa mbali usiowajua
 
Mahusiano yana mambo mengi sana, mm ni male najua nikifanyiwa nini hata hati ya nyumba ya baba yangu nitakupa ni jambo dogo sana ambalo wanawake wa sasa wameshindwa kucheza na akili zetu ilo ndy tatizo in box me nikupe hints chache baada ya hapo nikutakie ndoa njema na yenye utulivu just do it now plz
 
Siku zote mwanamke hawezi pata mwanaume aliye sahihi,,,.

1. Ukimpata handsome,,kichwa yake ni empty.

2. Ukimpata genius...yuko serious masaa 24 na wengi huwa hawako romantic , hawajipendi kihiivyo, wako rafu mno

3. Ukimpata tajiri...hawezi kukuheshimu full madharau, utamwambia nini wakati hela anayo bana.

4. Ukimpata mfanyakazi hodari na mtafutaji...hana muda wa kuwa na wewe..muda wote anawaza kazi na kutafuta maisha

5. Ukimpata mnyenyekevu...mfukoni huwa 0%.

6. Ukimpata anayekupenda kwa dhati...anakuwa siyo type yako..hana pozi zile unazitaka.

7. Ukimpata msomi..hasikilizi ushauri wako..anakuona Boya tu.

8. Ukimpata yule smart...ni muongo to the maximum... na player

So listen to your heart...[emoji173][emoji173], na shukuruni kwa kila jambo, toka anguko la Adam hakuna mtu perfect..hata wewe hauko perfect
 
That's the matter of a time just wait for your turn........ anything else?
 
Ninaowapata ni wa kwenye mitandao, wapo mbali hivyo tunaishia tu kuchatchat siku inaisha. Ninaowapata mtaani huwezi wafanyia promotion yoyote maana wanaonekana tu wapigaji.

Upweke nao unatesa, unatamani wikend hivi uwe na mtu wako akufanyie shoping, upike, mle mpige story ila hayupo.

Unajiuliza ulitolewa kwenye ubavu wa mbao nini? Mume wa mtu hana raha yoyote japo ni wawekezaji wa uhakika ni wewe tu at your own risk. Hebu kuweni wakweli ni jinsi gani ya kumpata anaekupenda au haina mjanja?

Ni tatizo kubwa sana sio kwako tuu...
Nafikiri issue kubwa ni kwamba dunia imebadilika sana (no morals na values), na kikubwa ni mentality za watu pia, na hii ni kwa jinsia zote.

Ona hapa to me your post is very clear lakini watu tayari wanrukia ohh high expectations, mara ohh mume utapewa tuu sasa unajiuliza wapi ktk message yako ume indicate hayo ?

Kujibu swali lako la jinsi ya kumpata, sio rahisi na hakuna formula lakini wakati mwingine njia kama hii inaweza kukupa connection na mtu/watu na who knows over time ?
 
Siku zote mwanamke hawezi pata mwanaume aliye sahihi,,,.

1. Ukimpata handsome,,kichwa yake ni empty.

2. Ukimpata genius...yuko serious masaa 24 na wengi huwa hawako romantic , hawajipendi kihiivyo, wako rafu mno

3. Ukimpata tajiri...hawezi kukuheshimu full madharau, utamwambia nini wakati hela anayo bana.

4. Ukimpata mfanyakazi hodari na mtafutaji...hana muda wa kuwa na wewe..muda wote anawaza kazi na kutafuta maisha

5. Ukimpata mnyenyekevu...mfukoni huwa 0%.

6. Ukimpata anayekupenda kwa dhati...anakuwa siyo type yako..hana pozi zile unazitaka.

7. Ukimpata msomi..hasikilizi ushauri wako..anakuona Boya tu.

8. Ukimpata yule smart...ni muongo to the maximum... na player

So listen to your heart...[emoji173][emoji173], na shukuruni kwa kila jambo, toka anguko la Adam hakuna mtu perfect..hata wewe hauko perfect
You exhausted it mkuu, nice comment.
 
'Nenda huko pale walipo utawapata' by Pastor Kuria.
 
Ni tatizo kubwa sana sio kwako tuu...
Nafikiri issue kubwa ni kwamba dunia imebadilika sana (no morals na values), na kikubwa ni mentality za watu pia, na hii ni kwa jinsia zote.

Ona hapa to me your post is very clear lakini watu tayari wanrukia ohh high expectations, mara ohh mume utapewa tuu sasa unajiuliza wapi ktk message yako ume indicate hayo ?

Kujibu swali lako la jinsi ya kumpata, sio rahisi na hakuna formula lakini wakati mwingine njia kama hii inaweza kukupa connection na mtu/watu na who knows over time ?
asante mkuu
 
Back
Top Bottom