Nifanyeje niwe na mahusiano rasmi?

Nifanyeje niwe na mahusiano rasmi?

Hata wale wa nyumba za ibada huwaamini? Maana angalau wans hofu ya mungu. So wapigaji na kama ameliazisha unampeleka kiongozi wa dini akajieleze
 
Mahusiano bwana ni kitu kinachoumiza sana!!

Tulia wako yuko sehemu anakusubiri

Mshirikishe Mungu tu
Si kweli.

Mwambie aweke mazingira ya kuthubutu kukutwa. Kusubiri ilikua zamani enzi zetu wakati tukitafutiwa wenzi.

Sasa mdada hana mtu wa uhakika ila kwa ajili ya hela ananunua IST na anaweka tinted. Mda wote full AC make up zisiunguze. Miaka nayo haismami. Wadada level ya college hasa wana hyo shida.

Mdada huyo huyo anaamua kwa sababu anazojua yeye na Mungu wake hatoki ndani na amepanga. Eti wife material. Damn!!

Hivi lini na wapi atakutana na mwenza zaidi ya kumegana na wa ofisini maana upweke nao ndo hivyo........ Wadada hasa wa college wajiachie waonekane.

Kama anataka mwalimu amuoe a hang out wanakohang walimu. Pengine awe anatoka na mdada mwenye mwalimu mara kwa mara au mdada nduguye mwalimu. Same na kama anataka mjeda, polisi, banker, mishen town, producer wa mziki, mchungaji, msomi anaekarbia kumaliza, average joe working class pimbi, n.k. n.k.

Hawezi kutaka mfalme halafu hajaandaa mazingira ya kuwa malkia... geniveros mwambie Miss Natafuta atafute kwa mbinu. Kusuburia haiko these days. But anavyotafuta pia awe mkweli wa nafsi yake kwa anachotaka na ajipange kukienzi coz atapata kwa kipimo hicho atakacho na atakachokitoa.
 
Pole ila huyo Wa mbali kama anakupenda mvumilie si atakuja kukuona? Ila usiamini sana watu Wa mitandaoni
 
Miss Natafuta Mungu anakusikia kilio chako. Tulia omba Mungu kwa imani yako tu. Halafu wanaume wa mtandaoni ndiyo wabaya sana kwa asilimia kubwa ni wahuni tu wa hit and run ana wengine wapigaji wa hela na wezi pia. Hivyo ninawaasa muwe makini sana. Kuna dada yangu mmoja alifanyiwa ushenzi sana na mwanaume wa hapa hapa tena mtu mzima at his 53 years na wala si mbali ni kama like 4 months ago. Ni kwa vile tu sheria za hapa zinakataza ila ningemwanika hapa kabisa ili mabinti mkae naye chonjo au mtoe ushuhuda wa ushenzi wake ali apigwe server ban kabisa.. Yaani mwanaume ni hovyo kabisa tena siku wanaionana tu kabla yata ya kusomana alianza kuomba mkopo, hajakaa sawa anataka sex, hajakaa sawa mara hili mara lile. Yaani kuweni makini sana dada zangu. Tena makini haswa maana wako pia waume za watu huwa wanakana wake zao au kusingizia kuwa eti wameachana kumbe amejaa nyumbani tele kama wali wa jana tu. Yaani so sad men. Acheni uongo, msitese mabinti hawa. kuweni makini ili wachague moja tu kama akuchukue kama mume wa mtu au kama usiye na mahusiano.
 
asante kwa ushauri mkuu
 
Back
Top Bottom