Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,864
- Thread starter
- #101
hebu nipm maana sioni labda upo page gani hukohaya bana, kuwa serious, wengine tupo more than serious. haya nakusubiri huko pm
hebu nipm maana sioni labda upo page gani hukohaya bana, kuwa serious, wengine tupo more than serious. haya nakusubiri huko pm
hata kwetu wapo watu kama weweBiashara matangazo ila kuna bidhaa nyingine kama hz at ur own risk
Nakuona katika ubora wakohata kwetu wapo watu kama wewe
nimeamka vibaya leo naclaim my husband hapa by force bu power nimechoka kupiga miayoNakuona katika ubora wako
Hahaha [emoji23] [emoji23] pole lakn...mmmmhnimeamka vibaya leo naclaim my husband hapa by force bu power nimechoka kupiga miayo
Hivi ni kweli hata wewe unayetafutwa hupati au una sura ngumu.
Wanaume tunahangaika kwasababu ndio tuna kazi ya kutafuta.
Mimi nimeamua kuwa mpole najua mke nitapata mwaka wowote.
...Alafu kawa mkali kinoma, ..mwanaume gani atampata kwa style hiyo,..[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] ni ushauri tu kama una vigezo vingi punguza utapata mume mwema,mbona waowaji wapo ila wanakosa wanawake wenye sifa za kuolewa.
Maombi hayapokelewi kama wewe mwenyewe hauendani na maombi hayo.Usisahau na maombi Miss ili Mungu akufunulie mtu sahihi ambae unamtaka atakaekuja kuwa mume bora
udom again????????Unamapungufu maybe look at you again wkt unatongoza huenda unatoa promis kibao then unajikuta huwez kuztimiza so kuwa muwaz na uwe na msimamo sio Leo asha kesho mwajuma watakuganya kama automatic tellas mashine ATM.then itakuwa ngum kuona niyup wakweli unaye takiwa kumpa true love..
Utajiju kama wewe Ni kimbau mbauLower your high exepection. At least to an average standard.
Pengine unakuwa na matarajio meengi. Mwanaume mwenye mapesa mengi wakati huohuo unataka wa kukupenda sana, mwenye six pak, handsome, msomi, mcha Mungu nk
Mme au mke bora hatafutwi, bali hutoka kwa Bwana!
Aisee! Manake niliona hiyo condition imekaa kikafara kafara kiongozi! Anyway, all the best mzee!Hapana kiongozi, bali nataka mke mwenye mtoto mmoja na baba wa huyo mtoto awe amefariki.
Aisee! Manake niliona hiyo condition imekaa kikafara kafara kiongozi! Anyway, all the best mzee!
Miss Nyani NgabuMiss Nyani Ngabu yuko jirani yako... Fanya kuchek nae
Em nijibu kule nizame accordinglyNinaowapata ni wa kwenye mitandao, wapo mbali hivyo tunaishia tu kuchatchat siku inaisha. Ninaowapata mtaani huwezi wafanyia promotion yoyote maana wanaonekana tu wapigaji.
Upweke nao unatesa, unatamani wikend hivi uwe na mtu wako akufanyie shoping, upike, mle mpige story ila hayupo.
Unajiuliza ulitolewa kwenye ubavu wa mbao nini? Mume wa mtu hana raha yoyote japo ni wawekezaji wa uhakika ni wewe tu at your own risk. Hebu kuweni wakweli ni jinsi gani ya kumpata anaekupenda au haina mjanja?
kuna kuomba bila kumaanisha?Omba Mungu kwa kumaanisha utampata wako wa maisha. Kwa msaada zaidi ni PM