Nifanyeje niwe na mahusiano rasmi?

Nifanyeje niwe na mahusiano rasmi?

Ninaowapata ni wa kwenye mitandao, wapo mbali hivyo tunaishia tu kuchatchat siku inaisha. Ninaowapata mtaani huwezi wafanyia promotion yoyote maana wanaonekana tu wapigaji.

Upweke nao unatesa, unatamani wikend hivi uwe na mtu wako akufanyie shoping, upike, mle mpige story ila hayupo.

Unajiuliza ulitolewa kwenye ubavu wa mbao nini? Mume wa mtu hana raha yoyote japo ni wawekezaji wa uhakika ni wewe tu at your own risk. Hebu kuweni wakweli ni jinsi gani ya kumpata anaekupenda au haina mjanja?

Njoo nikulee mjukuu wangu.....
 
Pole miss
 
Kwel ata kazin kwako , umekosa jf msaidien dada enu .
Karibu juice [emoji484] [emoji484] [emoji484] [emoji484]
 
Ngoja hadi ugonge 30+ ndiyo akili ikukae sawa!
 
Wew miss natafuta upon wapi I mean mkoa gani? Personally nipo dar nicheck pm tuyapange kam yanawezekana .ila usilalamike sana binafsi naona ukitulia na usiwe na haraka utapata tu MTU.ingawa jamii tunayoish inachangamoto kweli coz ukiwasikilza wanaume watakwambia wanawake Wa kuoa wako wapi, kwa upande Wa wadada nao wanalalamika waoaji Hanna duh mungu atusaidie .usikate tamaa lkn focus kwenye mambo yako while waiting for your MTU to come.
 
Mimi nilikutafuta hata kuonana na Mimi umekataa, you are not serious
 
Back
Top Bottom