Nifanyeje, naombeni mawazo yenu

Nifanyeje, naombeni mawazo yenu

Jamani ushauri mwingine inabidi mtu uwe makini sana na ufanye kama hilo swala ni lako wewe binafsi na unaomba ushauri. Mi namshauri aheshimu hisia zake na amuombe Mungu amfunulie kama huyo ndio chaguo kutoka kwake na kama si chaguo litatokea jambo la kukatisha mahusiano hayo. Ila tatizo kubwa hapo ni hilo la athma linahitaji maombi pamoja na imani ili kupokea uponyaji, vidonda vya tumbo vinatibika havina tatizo. Usimkimbie umpendaye kuwa karibu naye myatatue matatizo kwa pamoja. Matatizo mengine yanaweza kutokea baada ya ndoa, kwa mfano mume kushindwa kufanya tendo la ndoa baada ya kuugua hapo unafikiri itakuwaje kwa upande wa mke na yeye amkimbie mume wake na kutafuta bwana mwingine?
 
impact ya kuropoka kama unaambiwa kesho hutaongea.... hapo ni wewe kumalizia tu ahadi zako ..... mbaya zaidi ahadi ni deni ukimwacha huyo binti utamuua ... hivi unaanzaje kutoa mahaadi mlima wakati wewe hata ujaanza kuupanda..... pole kuwa mwanagalifu na hisia za mwenzio
 
Hakunaga ndoa ya huruma, kama humtaki mwambie mapema. Vinginevyo ataishi maisha ya kitumwa sana.

Well said; namkumbuka sana Bosi wangu mmoja before I got married aliniambia ''Usithubutu kuoa kwa kumuonea mtu huruma, siku itakuja yeye hatakuonea huruma'' ... ilinisaidia sana kufanya maamuzi sahihi bila kujali mtu anajua kulia/kuomba/kubebeleza kiasi gani! Ukweli ni kwamba, mke akija utamjua utamjua tu na hutaambiwa lolote ... Director-k listen to your natural instinct!!!
 
Last edited by a moderator:
Kama yanatibika msaidie apate matibabu,
Huwezi kujua Mungu aliwakutanisha kwa makusudi yepi.
 
Umeshafanya nae mapenz?

avatar44892_3.gif.jpgha ha haha ha nadhani bado hawajafanya
 
huyoo......... ni chaguo lako huyo..........,huyo ni chaguo lako...x 3(imba)

hata kama anamgonjwaaaa ... huyoo ni chaguo lako..
hata kama hana shepu .... huyo ni chaguo lako....
huyoo ni chaguo lako .... huyo ni chaguoo lako....
Mungu amekupa kwa makusudi huyoo ni chaguo lakoo....
 
impact ya kuropoka kama unaambiwa kesho hutaongea.... hapo ni wewe kumalizia tu ahadi zako ..... mbaya zaidi ahadi ni deni ukimwacha huyo binti utamuua ... hivi unaanzaje kutoa mahaadi mlima wakati wewe hata ujaanza kuupanda..... pole kuwa mwanagalifu na hisia za mwenzio

Iko Hv Huyu Bint Nilimpenda Kwa Dhat Nikaamua Kuanzisha Mahusiano Ya Muda Mrefu ili Kila Mtu Kugundua Tabia Za Mwenz Wake Na Kuridhika Nazo Pia Sikutaka Kuupanda Mlima Kwa Kumlinda Heshma Kama Mke Wangu Mtarajiwa. Hof Yangu Kubwa Anaumwa ATHMA hv kwel anaweza kuvumilia mikik ya tendo la ndoa?
 
aaah utamfanya pole pole bwana
 
Well said; namkumbuka sana Bosi wangu mmoja before I got married aliniambia ''Usithubutu kuoa kwa kumuonea mtu huruma, siku itakuja yeye hatakuonea huruma'' ... ilinisaidia sana kufanya maamuzi sahihi bila kujali mtu anajua kulia/kuomba/kubebeleza kiasi gani! Ukweli ni kwamba, mke akija utamjua utamjua tu na hutaambiwa lolote ... Director-k listen to your natural instinct!!!

thanks mkuu.!
 
Last edited by a moderator:
Mmekuwa wote kwa mwaka mmoja...............huyo ni chaguo lako
Na ulimuahidi kwenye shida na raha................huyo ni chaguo lako
Na leo nado huyo ambae nichaguo lako
Huyo ni chaguo lako....chaguo lako mpendane sana huyo ni chaguo lakoooo!!
hata kama anamgonjwaaaa ... huyoo ni chaguo lako..
hata kama hana shepu .... huyo ni chaguo lako....
huyoo ni chaguo lako .... huyo ni chaguoo lako....
Mungu amekupa kwa makusudi huyoo ni chaguo lakoo....
 
me nakwambiaje!, kuliko kumtia moyo kinafki, kama huwezi kuvumilia bora umuache mapema tu, kuliko akakutegeme af director ukashindwa kumdirect.....

nishauri mkuu nimwambie kwa style gan kwamba nimevunja mahusiano au ckutak yan hata cjui nianze vp. Hapo 2 Ndo Tatizo Nianzeje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom