Nifanyeje, naombeni mawazo yenu

Nifanyeje, naombeni mawazo yenu

As long as umempenda na ulimuahidi, chukua mzigo wako!


Excel
vipi tena umesha kuwa mzigo mara hii tehetehe huyo ndiyo mwanamke wa ukweli ameona amweleze ukweli wote akilogwa amuache kwa sababu tu ya kuambiwa ukweli hakika ataangukia pabaya atamkumbuka huyu dada.
 
Katika yote "usimuoe mtu kwa kuwa unamuonea huruma". Nilivyokusoma ni kama umeshakata tamaa ya mahusiano kutokana na magonjwa ya mpenzi wako, ni vile tu unamuonea huruma na unawaza itakuwaje ukimuacha.
Naomba ubebe mzigo wa huyo mpenzi wake na mtafute tiba mapema. Mbona kule JF doctor kuna shuhuda nyingi tu za watu waliopona ulcers naa asthma. Tafuteni tiba na atapona tu. Unaweza ukamuacha huyu leo kwa kuwa anaumwa, ukampata mzima ukamuoa afu baadaye akapata ajali na akapoteza viungo au akapata tu magonjwa kama ulcers na kansa (God forbid), utamuacha mkeo??. Tafadhali, kama unaona mzigo wake ni mzito sana kwako basi wewe muache tu, yupo atakayekuja kumbebea matatizo yake


mnnh ujumbe mzito huu
 
[QUOTEa=magig;10439450]Daaah kumbe point ni kugegeda bao zaid ya mbili kwa styl ngum ngum.... heb oa huyo toto mabao mawili yanakutoshaaaaa... (kwa afya)

Sijalenga Zaid Kwenye Kugegeda Pia M2 Mwenye Athma Hua Anakua Dhaif Dhaif, Ukigegeda Zaid Ya Dkk 7 Anakua Anapumua Kwa Taabu Kama Vile Anakata Roho[/QUOTE]

dogo acha uongo wewe ulikuwa humpendi, mtu huwa hapati attack ya asima kwa kugegedwa labuda awe na allergy na fimbo ya Haruni,lazima kuna vitu vinamfanya imtokee, ukimega tunda kwenye mazingira yanayompa attack may be harufu kali ya manukato,wakati wa baridi wengi inawapata ndo utasema anapumua kwa shida katika hali ya kawaida hakuna kitu kama hicho.Halafu na wewe utakuwa na uchu wa fisi mwenzio amekabwa na wewe umo tu.
 
mtu akiwa mkweli tatizo kumbe...
muache ukavaane muongo roho yako isuuzike
 
Hata Wenye VVU Pia Ni Watu. Hata Wewe Pia Unaweza Ukapat VVU Haijalish Umeoa/umeolewa Au Uko Single..! MUNGU AEPUSHIE MBAL HILO BALAA. sasa nakushangaa nakuomba ushaur unaleta v2 vngne kabisa.

kwa maana nyingine, msema kweli mpenzi wa mungu, usimwache mana huwezi jua kusudi la mungu. Unaweza ukamwacha huyo ukampata mwingine mwenye matatizo zaid ya huyo na kukuficha mwisho wa siku unaambulia 0.
 
Sijalenga Zaid Kwenye Kugegeda Pia M2 Mwenye Athma Hua Anakua Dhaif Dhaif, Ukigegeda Zaid Ya Dkk 7 Anakua Anapumua Kwa Taabu Kama Vile Anakata Roho

dogo acha uongo wewe ulikuwa humpendi, mtu huwa hapati attack ya asima kwa kugegedwa labuda awe na allergy na fimbo ya Haruni,lazima kuna vitu vinamfanya imtokee, ukimega tunda kwenye mazingira yanayompa attack may be harufu kali ya manukato,wakati wa baridi wengi inawapata ndo utasema anapumua kwa shida katika hali ya kawaida hakuna kitu kama hicho.Halafu na wewe utakuwa na uchu wa fisi mwenzio amekabwa na wewe umo tu.[/QUOTE]

Jiran Yetu Mke Wake Aliugua Sana Akapimwa Akaambiwa Anaumwa ATHMA Mwanaume Akapewa Mashart Na Daktar Kua Asimfanyie Mitindo / style Ngum Ngum Na Mwisho Wa Kumgegeda Ni Bao 2 Kwa Kumlindia Afya Ya Mkewe, Sasa Hayo C Majanga..! Ukiangalia Wote Bado Ni Vijana. Mi Kila Nkifikiria Hilo Yan Had Naogopa.
 
dogo acha uongo wewe ulikuwa humpendi, mtu huwa hapati attack ya asima kwa kugegedwa labuda awe na allergy na fimbo ya Haruni,lazima kuna vitu vinamfanya imtokee, ukimega tunda kwenye mazingira yanayompa attack may be harufu kali ya manukato,wakati wa baridi wengi inawapata ndo utasema anapumua kwa shida katika hali ya kawaida hakuna kitu kama hicho.Halafu na wewe utakuwa na uchu wa fisi mwenzio amekabwa na wewe umo tu.

hahahaha na wewe unataka style ngumu siyo umkunje mtoto wa watu kama chapati heheheh

Jiran Yetu Mke Wake Aliugua Sana Akapimwa Akaambiwa Anaumwa ATHMA Mwanaume Akapewa Mashart Na Daktar Kua Asimfanyie Mitindo / style Ngum Ngum Na Mwisho Wa Kumgegeda Ni Bao 2 Kwa Kumlindia Afya Ya Mkewe, Sasa Hayo C Majanga..! Ukiangalia Wote Bado Ni Vijana. Mi Kila Nkifikiria Hilo Yan Had Naogopa.[/QUOTE]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom