Nifanyeje, naombeni mawazo yenu

Nifanyeje, naombeni mawazo yenu

Katika yote "usimuoe mtu kwa kuwa unamuonea huruma". Nilivyokusoma ni kama umeshakata tamaa ya mahusiano kutokana na magonjwa ya mpenzi wako, ni vile tu unamuonea huruma na unawaza itakuwaje ukimuacha.
Naomba ubebe mzigo wa huyo mpenzi wake na mtafute tiba mapema. Mbona kule JF doctor kuna shuhuda nyingi tu za watu waliopona ulcers naa asthma. Tafuteni tiba na atapona tu. Unaweza ukamuacha huyu leo kwa kuwa anaumwa, ukampata mzima ukamuoa afu baadaye akapata ajali na akapoteza viungo au akapata tu magonjwa kama ulcers na kansa (God forbid), utamuacha mkeo??. Tafadhali, kama unaona mzigo wake ni mzito sana kwako basi wewe muache tu, yupo atakayekuja kumbebea matatizo yake
 
Kama yanatibika msaidie apate matibabu,
Huwezi kujua Mungu aliwakutanisha kwa makusudi yepi.

Ni Kwel Mkuu Mi Naona Ntakua Kila Cku Natibisha. Kwa 7bu Nshawah Kuona Jiran Alikua Ma Mke Mwenye Athma Walipoenda Hospital Akapangiwa Mwisho Wa Kugegeda Ni Bao 2 Tu Wala Asimfanye Kwa Styl Ngum Ngum Unaweza Kumuua. Sasa Mi Kila Nkifikiria Hayo Had Poz Linaniishia Hata Cjui Nfanyeje.
 
Katika yote "usimuoe mtu kwa kuwa unamuonea huruma". Nilivyokusoma ni kama umeshakata tamaa ya mahusiano kutokana na magonjwa ya mpenzi wako, ni vile tu unamuonea huruma na unawaza itakuwaje ukimuacha.
Naomba ubebe mzigo wa huyo mpenzi wake na mtafute tiba mapema. Mbona kule JF doctor kuna shuhuda nyingi tu za watu waliopona ulcers naa asthma. Tafuteni tiba na atapona tu. Unaweza ukamuacha huyu leo kwa kuwa anaumwa, ukampata mzima ukamuoa afu baadaye akapata ajali na akapoteza viungo au akapata tu magonjwa kama ulcers na kansa (God forbid), utamuacha mkeo??. Tafadhali, kama unaona mzigo wake ni mzito sana kwake basi wewe muache tu, yupo atakayekuja kumbebea matatizo yake

Nashkuru Sana Mkuu. Ntapima Maji Na Unga Pia Ntaangalia Uzito Wa Tatizo Ntafanya Maamuz Sahihi.
 
Ni Kwel Mkuu Mi Naona Ntakua Kila Cku Natibisha. Kwa 7bu Nshawah Kuona Jiran Alikua Ma Mke Mwenye Athma Walipoenda Hospital Akapangiwa Mwisho Wa Kugegeda Ni Bao 2 Tu Wala Asimfanye Kwa Styl Ngum Ngum Unaweza Kumuua. Sasa Mi Kila Nkifikiria Hayo Had Poz Linaniishia Hata Cjui Nfanyeje.

Daaah kumbe point ni kugegeda bao zaid ya mbili kwa styl ngum ngum.... heb oa huyo toto mabao mawili yanakutoshaaaaa... (kwa afya)
 
kila binadamu ni mgonjwa mtarajiwa what matters ni kama mnapendana kweli
 
[QUOTEa=magig;10439450]Daaah kumbe point ni kugegeda bao zaid ya mbili kwa styl ngum ngum.... heb oa huyo toto mabao mawili yanakutoshaaaaa... (kwa afya)[/QUOTE]

Sijalenga Zaid Kwenye Kugegeda Pia M2 Mwenye Athma Hua Anakua Dhaif Dhaif, Ukigegeda Zaid Ya Dkk 7 Anakua Anapumua Kwa Taabu Kama Vile Anakata Roho
 
Subiri ukutane na mwenye vvu

Hata Wenye VVU Pia Ni Watu. Hata Wewe Pia Unaweza Ukapat VVU Haijalish Umeoa/umeolewa Au Uko Single..! MUNGU AEPUSHIE MBAL HILO BALAA. sasa nakushangaa nakuomba ushaur unaleta v2 vngne kabisa.
 
hata kama anamgonjwaaaa ... huyoo ni chaguo lako..
hata kama hana shepu .... huyo ni chaguo lako....
huyoo ni chaguo lako .... huyo ni chaguoo lako....
Mungu amekupa kwa makusudi huyoo ni chaguo lakoo....

aya imba tena bazazi wangu wa kike ,huyoo............ni............chaguo lako huyo....
 
Mkuu hapa inategemea kina cha UPENDO wako wa huyo mchumba wako,

Katika maandishi yako unaona kuwa atakusumbua,nikuambie ktk dunia ya ss ni wanawake wachache wenye ukweli, heb fikkria y ameamua kukuambia ukweli?

Je unauhakika kuwa target yake ilikuwa n kukueleza ugonjwa au kujua stability yako kwa matatzo?

Hebu fanya verse versa ungekuwa ww unamatatzo hayo na umeamua kuwa mkwel kwa mchumba wko ungejisikiaje kama angalilikwambia kuwa amesitisha mahusiano nawe kwa sbb ya huo ugonjwa??

Mkuu maamzi yoyote yatakuwa yanafaida na hasara ktk maisha yako,ila kwa mtazamo wangu as longer as ameamua kuwa mkweli tibu tatzo na mwambie Mungu akupe njia za kuishi nae!!

MUNGU akubariki sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom