Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,754
Unanimaindi kitu gani? Mdogo wako akichepuka unapulizia mimi nikichepuka unagongelea msumari. Haki iko wapi?
damu nzito
Unanimaindi kitu gani? Mdogo wako akichepuka unapulizia mimi nikichepuka unagongelea msumari. Haki iko wapi?
usiwe unatembeatembea, si rahisi mtu kuyaona ukiwa umekaa
my sis tumeingia cha kiume ujue
my sis tumeingia cha kiume ujue
Kama cha stand.....hatari sana
Hapa asipaone mwenyewe wala kaka....lol
Kama cha stand.....hatari sana
Hapa asipaone mwenyewe wala kaka....lol
Mbona kama sielewi my dia kuna nini? missNeddy
My dia kuna nini tena?
Acha umbea
hahahaha wifi yako khantwe kabambwa anataka kuchepuka na mentor ndo nampoza mwallu hapa
Sis we sijakuaga ee?...nimekumbwa na matatizo...kesho nasafiri...nijipe mapumziko kwanza
Naona wamegoma. ..Sijui nini kinaendelea..
Kama ni punishment imetosha. ..